LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Miaka elfu 7 iliyopita wewe hukuwepo lakini alikuwepo mtu mmoja ambae alikuwa anaishi juu ya ardhi ya uso wa dunia precisely Africa..
Mtu huyo si mwingine ila ni ancestor wako.
Wewe ni mifupa katika mifupa yake. Wewe ni nyama katika nyama zake.
Wewe ni damu yake. Taarifa za mtu huyo zinaishi ndani yako kupitia D.N.A yako. This is to say yeye anaishi ndani yako na wewe unaishi ndani yake.
Mtu huyo ( mwanaume) alimzaa mwanaume ambae nae alimzaa mwanaume ambae nae pia alimzaa mwanaume mwingine ikaendelea hivyo hivyo mpaka akaja kuzaliwa babu yako kizaa baba ako ambae nae akamzaa baba ako kisha baba ako akakuzaa wewe na wewe umemzaa kijana wako wa kiume......to infinity.
Kutoka mwaka 7000 BC mpaka sasa hivi ni miaka elfu 9 imepita.
Kwenye bloodline yenu kuanzia kwa huyo ancestor wako aliekuwa anaishi huo mwaka 7000 mpaka wewe kama kila ancestor angekuwa anampata ancestor wa chini yake akiwa na wastani wa umri wa miaka 25 basi maana yake ni kwamba kutoka kwa ancestor wako alie ishi mwaka 7000 bc mpaka kwako kuna mababu 360.
what about miaka elfu 90 iliyo pita ? How many ancestors? 👉 3600 ancestors.
What about miaka laki 9 iliyopita? How many ancestors? 👉 36,000 ancestors.
But sayansi imethibitisha kwamba binadamu wa kwanza walianza kuishi duniani miaka milioni 6 iliyopita.
So kwa hesabu ya milioni 6 tukienda kwa ratio ya miaka 25 then kuanzia miaka milioni 6 iliyopita mpaka sasa hivi utakuwa na ancestors Laki 2 na elfu 40.( Hawa ni kwa upande mmoja tu wa baba peke yake yani kuanzia ancestor wako kwanza 👉mtoto wake wa kiume 👉 mjukuu wake wa kiume mpaka akazaliwa babu yako, baba ako mpaka wewe mwenyewe. Ukijumlisha na wake zao kwa pande zote mbili wanaweza kufika milioni)
This is to say that miaka milioni 6 iliyo pita kulikuwa na mtu hapa duniani ambae ni ancestor wako. Ambae kupitia viuno vyake walizaliwa ancestors wako wengine mpaka ukaja kuzaliwa wewe.
Ancestors wetu kama wasingekuwa smart kama tunavyo aminishwa na wazungu basi huenda hata leo hii wewe usinge kuwepo. Kwa sababu kwa mfano kama wangekuwa wanazaliana ndugu kwa ndugu basi vizazi vingeisha na kuteketea tangu enzi za Pontyo wa Pilato..
Itoshe kusema kwamba ancestors wetu walikuwa watu wazuri na wema sana.
Just like my ancestors, your ancestors were the good men and women.
Haya sasa tumia jukwaa hili kusema neno moja zuri au mawili kwa ancestors wako waliowahi kuishi hapa duniani kuanzia wale walio ishi katika kipindi ambacho na wewe unaishi mpaka wale walio ishi kuanzia miaka mia, elfu hadi milioni Sita iliyo pita.
Mimi ninasema ancestors wangu wote wa pande zote mbili ninawapenda sana na Mwenyezi Mungu awabariki huko mlipo.
# I am not teaching you ancestral veneration ila Nina kukumbusha tu umuhimu wa kuwa honour ancestors wako kama unavyo waheshimu biblical ancestors like Moses and Abraham.
I love you my ancestors.
God bless you my ancestors.
I bless you my ancestors
For any mistake that you did while on earth, May the Lord God forgive you and may all the information about any kind of a mistake that you did while on earth be deleted from both the universe and divine memory.
Thank you my ancestors.
Haya twende kazi 👇
Say something good to your ancestors