Uhusiano kati ya mwaka 7000BC na wewe unae soma Uzi huu

Uko sahihi mkuu,lakini pia tujifunze kuvunja maagano ambayo hao mababu waliyaweka (ansestor Generational Curses)..hayo maagano ama laana hutesa kizazi mpaka kizazi.
 
Unaweza kutusaidia kujua maagano ni nini ? Na ni maagano yepi hayo ambayo ancestors wetu waliyaweka? What is generational curse?
 
Back
Top Bottom