Huyo anawahusu wayahudi wewe kama Mwakayavale hauhusiani kabisa na YakobMwaka 7000 BC hakujawahi kuwa na binadamu kwa mujibu wa Dini..
Adamu Kaumbwa mwaka 6006 iliyolita
Ndio turudi katika asili yetu tupate kuyajua haya na kuyatatuaUko sahihi mkuu,lakini pia tujifunze kuvunja maagano ambayo hao mababu waliyaweka (ansestor Generational Curses)..hayo maagano ama laana hutesa kizazi mpaka kizazi.
Unaweza kutusaidia kujua maagano ni nini ? Na ni maagano yepi hayo ambayo ancestors wetu waliyaweka? What is generational curse?Uko sahihi mkuu,lakini pia tujifunze kuvunja maagano ambayo hao mababu waliyaweka (ansestor Generational Curses)..hayo maagano ama laana hutesa kizazi mpaka kizazi.
AmiinMimi ninawaenzi ancestors wangu kwa njia ya asili Mungu awarehemu huko walipo
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Ahahaha..unaambiwa kemea roho za ukoo na mababu..dahh!!! Hiv sijui wanakua wametukosea nini?.Leo hii tunafundishwa kuwa ancestors wetu ni mizimu na ndio kikwazo cha mafanikio yetu..
anakitu huyu jamaa atafika mbali akipata good managementMama kizimkazi amuone huyu kijana. Anajitahidi sana.
Unaweza kutusaidia kujua maagano ni nini ? Na ni maagano yepi hayo ambayo ancestors wetu waliyaweka? What is generational curse?