Mkuu naona kama unaongelea kwakuwa hayajakukuta.
Binafsi nina dogo wangu flani alikatongoza katoto flani kadogo tu kama 19yrs of age, basi akaomba mechi akakubaliwa dogo akaingia ground kupiga mechi, yani ile kuanza tu anakuambia aliishiwa nguvu na hakupiga hata goli moja akasingizia maza kamwita home kuna emergency.
Alichofanya nikuondoka na alipitia dukani akanunua magadi yakutosha kisha alipofika nyumbani akiwa amenuna sana akachemsha maji akatia magadi akaogea ndoo kubwa tatu. Na hiyo dozi iliendelea kama wiki hivi. Aliyokutana nayo yalimtisha.