Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alikutana na niniMkuu naona kama unaongelea kwakuwa hayajakukuta.
Binafsi nina dogo wangu flani alikatongoza katoto flani kadogo tu kama 19yrs of age, basi akaomba mechi akakubaliwa dogo akaingia ground kupiga mechi, yani ile kuanza tu anakuambia aliishiwa nguvu na hakupiga hata goli moja akasingizia maza kamwita home kuna emergency.
Alichofanya nikuondoka na alipitia dukani akanunua magadi yakutosha kisha alipofika nyumbani akiwa amenuna sana akachemsha maji akatia magadi akaogea ndoo kubwa tatu. Na hiyo dozi iliendelea kama wiki hivi. Aliyokutana nayo yalimtisha.
Mimi sijui ila inaonekana yaliyoelezwa kuhusu yule dada yatakuwa yanahusikaalikutana na nini
Lidemu flani hivi lina mambo ya kitotoo kama lile kubwa jinga le mtumboz aka makaptula
Umeongea kwa kweli.
Wengi hujisahau. Utashangaa wanawake wengine wanavaa nguo za milioni. Makeup za malaki. Mawigi ya malaki. Lkn ukija kwenye suali la usafi wa ndani zero.
Hata kama mtu una tatizo, dawa zipo.
Ila nafkiri na kufanywa fanywa sana na visiki tofauti tofauti pia kunachangia.