Usemalo lina ukweli kiasi fulani pamoja na hili la Homosexual yani gays kwani hata best performer au scientists most of them ni mashoga au wengine hawakuwah kuoa au kuwa na wanawake Mimi naamini mtu mwenye kutumia sana kichwa cha chini basi cha juu kinapooza vise versa ukitumia sana kichwa cha juu cha chini kitapooza huwezi kuvitumia vyote effectively yupo profesa pale Sua anakuambia yeye hufanyi sex kwa ajili ya reproduction tu na sio starehe,
Hata ww saivi chukua watu wa taaluma moja mpe kazi mtu anaependa sana wanawake na ambae hapendi wanawake uone nani ataifanya kwa ufasaha