Uhusiano kati ya saizi ya uume(Penis size) na Intelligence Quotient(IQ)

Uhusiano kati ya saizi ya uume(Penis size) na Intelligence Quotient(IQ)

Hii sioni ikiingia akilini, hapa kwetu Kenya, jamii ya Wajaluo wanafahamika kubeba dushe za kikweli lakini pia kielimu wapo sawa sana. Wao ndio wahandisi wengi nchini.
 
Hii sioni ikiingia akilini, hapa kwetu Kenya, jamii ya Wajaluo wanafahamika kubeba dushe za kikweli lakini pia kielimu wapo sawa sana. Wao ndio wahandisi wengi nchini.
Ndio hao wanasifa ya kutopata urais Kenya?
 
"Huwez kunyimwa vyote lazima utapewa chako, dem ana sura mbayaa ila ana bonge la tak*"
 
Wengine wamezaliwa kuja kuzaana tu so maumbile lazina yawe makubwa
 
Usemalo lina ukweli kiasi fulani pamoja na hili la Homosexual yani gays kwani hata best performer au scientists most of them ni mashoga au wengine hawakuwah kuoa au kuwa na wanawake Mimi naamini mtu mwenye kutumia sana kichwa cha chini basi cha juu kinapooza vise versa ukitumia sana kichwa cha juu cha chini kitapooza huwezi kuvitumia vyote effectively yupo profesa pale Sua anakuambia yeye hufanyi sex kwa ajili ya reproduction tu na sio starehe,
Hata ww saivi chukua watu wa taaluma moja mpe kazi mtu anaependa sana wanawake na ambae hapendi wanawake uone nani ataifanya kwa ufasaha
 
ni kweli hii mada yake ina ukweli fulani...kuna familia fulani jirani zetu wana maumbile makubwa ya uume ila shuleni ni vilaza sana aliyejitahidi kaishia darasa la tano....
Hahahahaha mbavu zangu
 
Utafiti huu ni wakweli, ila kwa wale ambao huwa hawaamini jambo mpaka sayansi ilithibitishe wataendelea kusubiri sana..
 
Hata watu wenye macho madogo ni makini zaid na kadri macho yanazidi kuwa makubwa na umakini wa kufanya ama kuamua jambo ndo unazidi kupungua.
 
ni kweli hii mada yake ina ukweli fulani...kuna familia fulani jirani zetu wana maumbile makubwa ya uume ila shuleni ni vilaza sana aliyejitahidi kaishia darasa la tano....

Wewe uliwajuaje?
 
Unategemea wale waasia wawe na saizi kubwa wakati wao wadogo hivo?
 
Tuletee pia uhusiano uliopo kati ya ukubwa wa midomo ya wanawake na Papuchi zao, nilipata kuona sehemu eti ni "DIRECT PROPORTIONAL"
 
Back
Top Bottom