Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hao wanasifa ya kutopata urais Kenya?Hii sioni ikiingia akilini, hapa kwetu Kenya, jamii ya Wajaluo wanafahamika kubeba dushe za kikweli lakini pia kielimu wapo sawa sana. Wao ndio wahandisi wengi nchini.
Hahahahaha mbavu zanguni kweli hii mada yake ina ukweli fulani...kuna familia fulani jirani zetu wana maumbile makubwa ya uume ila shuleni ni vilaza sana aliyejitahidi kaishia darasa la tano....
ni kweli hii mada yake ina ukweli fulani...kuna familia fulani jirani zetu wana maumbile makubwa ya uume ila shuleni ni vilaza sana aliyejitahidi kaishia darasa la tano....
Yep kufaulu Darasani ni sehemu ndogo tu ya IQ, lkn hatutegemei sana mwenye IQ kubwa afeli darasaniTutofautishe IQ na ufaulu wa darasani.
Kwa akili yako unaweza ukawa una IQ kubwa lakini uwezo wa darasani mdogo?....maajabu haya...Tutofautishe IQ na ufaulu wa darasani.