Uhusiano kati ya Uislamu na kufuga ndevu nyingi

Kwani makafir hua muongozo wenu ni upi hasa ?
Kwenye biblia hampo,kwenye Quran ndio kabisaaaaaa

Msikate pande yote ya nywele zenu ya vichwa, wala msikate pande ya ndevu zenu. (Biblia, Walawi 19:27)

Katika Biblia imetajwa katika maeneo mengi, kwamba manabii na waumini walikuwa na ndevu. Tazama kwa mfano Ezra 9:03, Mambo ya Walawi 21:05, Nehemia 13:26

Umesahau kuhusu kukatwa mkono wa sweta...
 
Kwani kuna wakristo na wasabai wanaomuamini Allah mpaka wasiwe na hofu ?

Wewe huoni kama unakejeliwa hapo ?
 
Huu sio Uislam bali ni UTAMADUNI wa Waarabu sana na Wamaasai au Wataturu.
 
Kwani kuna wakristo na wasabai wanaomuamini Allah mpaka wasiwe na hofu ?

Wewe huoni kama unakejeliwa hapo ?
anaye ongea hapo hiyo habari ni allah ambaye aliapia kwa aliye umba dhakari na Ku****%am ref; Qur'an 92:3[emoji4] anasewa [emoji117] wanao mwamini MWENYEZI MUNGU jee yeye ni Mwenyezi Mungu..[emoji47] wazimu ni fani eeh [emoji15] [emoji9]
 
Mwanaume unaanzaje kutoa ndevu zote ...? Yaani kidevu kama goti la mtoto...
 
Mtume alioa wanawake kumi na tatu na kubaka katoto kadogo ikiwa pamoja na kuolewa na bibi khadija kwahiyo nawe ukifanya hivyo ndo sunah siyo?

Ha ha mkuu ingekuwa leo hii mtu kabaka hivi ni miaka mingapi vile jela
 
Mwanaume unaanzaje kutoa ndevu zote ...? Yaani kidevu kama goti la mtoto...
kufuga ndevu ni ukichaa, kama ni suna mbona huoi mtoto wa miaka 8 kama yule jamaa yenu.
 
YESU SIO NABII ISA nimeshafanya comparison ya kuzaliwa kwa Yesu na Nabii Isa ni binadamu wawili tofauti
 
Hongera kwa mchango mzuri
 
NI SUNNA SIO, NA MLIAMBIWA MFUGE NDEFU NA,PIA ILI MSIFANANE NA MAYAHUDI NI LAZIMA MNYOE NDEVU ZA JUU (MUSTACHE) HAYO NDIO MOJA WAPO WA KUFUGA NDEVU.

UKIACHA ZA JUU TU WEWE NI KM MAYAHUDI,CHUNGA SANA USIWE MAYAHUDI.

NI VICHEKESHO SANA KUHUSU KUFUGA NDEVU.
 
Mada ilikuwa nzuri ya kuelimishana ila kwa kuwa jamvi hili kuna vichwa vingi vinavyowaza tofauti ndo maana michango mingine hakutoa majibu wala viongozi uelewa. Hoja km have hizi zikichangiwa kwa busara tutajikuta tunaondoka tofauti kubwa za kiimani tulizonazo, hata wale wanaodhani au waliokaririshwa kuwa imani ya mwenzake ni uasi atapata kuutambua ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…