Uhusiano kati ya Uislamu na kufuga ndevu nyingi

Uhusiano kati ya Uislamu na kufuga ndevu nyingi

Tumia akili yako angalau mara moja kwa mwaka uiepushe isioze. Hoja haba sio nani mwingine anafuga ndevu, hoja ni kuishabihisha na imani.

Upo uwezekano mkubwa Yesu alikuwa na madevu, kama ilivyo desturi ya watu wa jamii yake. Kwa hiyo hiyo sio hoja. Hoja ni mimi mkristo Mjaluo wa Tarime nalazimika kufuga midevu kama Yesu? Na mimi nivae kandambili hata kama hakuna joto la jangwani huku Nyamongo? Na mimi nikalie mikeka hata kama miti ya kukata kutengeneza fanicha ipo?

Acha kutoka povu, itazame hoja ya msingi.
Ngedere mkuu
 
Kweli Nyani haoni kundu lake.
Mbona hao jamaa wamefuga ndevu kwani na wao ni waislamu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijamuona kiongoz wa kiroho wa kikristu akiiga UYESU,even huyo mzungu aloigiza as yesu
 
Unachanganya mada sasa, hapo kuna huyo mtu unamuita Issa, waislamu mnaforce kwa nguvu ya ajabu sana kusema issa wenu ndo YESU KRISTO, najua mnafanha hivi ili kuwahadaa watu tu.....Ila sishangai maana hata YESU KRISTO alishatabiri kuna watu matapeli watajifananisha na yeye
Sawa .kaka ..kaa na mungu wako nami na mungu wangu .
 
Unaota uko msitu wa kibiti eeh unakula pilau makinikia eeh [emoji47] [emoji4]


Wewe unaota uko sauna ya Roma unanyolewa nywele zote ???

Huyo uliyemfanya mungu wako mdogo wake James amechukua kifaa hiki



Jesus of Nazareth..and his lovely wife


upload_2017-6-27_21-9-46.jpeg
 
Salam kwenu wakuu, kwa wale wenzetu waislam naona sikukuu yenu iko safi kabisa huku familia zikiendelea kujumuika vyema na maakuli ya hapa na pale.

Kuna hivi vitu vitatu kuhusu waislam (hasa wanaume):-

1. Kufuga ndevu nyingi

2. Kuvaa makobazi au sandals au open shoes (zilizo-over size)

3. Kuvaa kanzu

Nini uhusiano wa dini ya kiislam na hivyo vitu vitatu hapo juu?

Ukiwa muislam ni lazima ufuge ndevu kama Osama Bin Laden?

Ukiwa muisalm ni lazima kuvaa sandals au open shoes au makobazi muda wote?View attachment 530339View attachment 530340View attachment 530341View attachment 530343View attachment 530345
Siwashangai kuongea pumba kwakuwa ccm iliwanyimeni elimu hili ndilo Tatizo la wajinga je hata kutembea hamtembei?labda niwafahamisheni kitu kwa ufupi tu tokeni kwenye mashimo yenu Tanzania nendeni kwa majerani zenu south Africa nauli All most laki tatu na ushee kwa ndege fast jet na bus kama 170000 kupitia zimbabwe so tembeeni maana nikiwaambia fikeni mbele huku hamtoweza poor man
 
Wayaudi na waarab kufuga ndevu kwao hakutokani na dini, wao toka kitambo ndivyo walivyo yaani hawanyoi makusudi kutokana na mila zao. Hawa wa kwetu (waafrika) ni watu wasiojitambua, wanaiga hata vitu visivyo na kichwa wala miguu kisa kimetoka Uarabuni. Ukiwasomesha wanakasirika na kuvaa mabomu kujiua wao wenyewe pamoja na wngine wasio na hatia.
 
Back
Top Bottom