Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni matendo ambayo Mtume Muhammad S.A.W aliyafanya au alipendekeza kufanywa ambayo mtu akifanya anapata thawabu asipofanya hupati thawabu wala dhambi mfano kufunga jumatatu na Alhamis ni sunna tu sio lazima kusali sala nje ya zile sala 5 sala tano ni faradhi ( wajibu/ lazima ) na sala nyengine zilizobaki ni sunna km sala za usiku wanaita witri tahajjudi kula daku ni sunna sio lazima kufunga cku 6 baada ya ramadhan ni sunna sio lazima anaetaka anafanya asietaka anaachaSunnah Ndonini hiyo mkuu
Ok, ahsante kwa elimu.Ni matendo ambayo Mtume Muhammad S.A.W aliyafanya au alipendekeza kufanywa ambayo mtu akifanya anapata thawabu asipofanya hupati thawabu wala dhambi mfano kufunga jumatatu na Alhamis ni sunna tu sio lazima kusali sala nje ya zile sala 5 sala tano ni faradhi ( wajibu/ lazima ) na sala nyengine zilizobaki ni sunna km sala za usiku wanaita witri tahajjudi kula daku ni sunna sio lazima kufunga cku 6 baada ya ramadhan ni sunna sio lazima anaetaka anafanya asietaka anaacha
Sunnah ni nini mkuu? Mbona kuna baadhi ya wanaume ambao hawafugi? Halafu vp kuhusu kuvaa suruari fupi zinazoishia kwenye ugoko, nayo ni sunnah?Kufuga ndevu kwa Muislam ni Sunnah!
Mkuu jibu liko kwenye post namba 14 ili kufahamu rejea katika thread hii.Sunnah ni nini mkuu? Mbona kuna baadhi ya wanaume ambao hawafugi? Halafu vp kuhusu kuvaa suruari fupi zinazoishia kwenye ugoko, nayo ni sunnah?
Hata akiamua kuficha madawa ya kulevya ndani ya hizo mdevu hakuna mtu atakayemgundua wala mbwa atakayeweza kumnusa.....hii hatari sana aisee!kuna mambo yanahitaje moyo sana....just imagine .
Hivi mtu kama huyu anakula vipi..?
anapigaje mswaki...?
anakulaje denda kwa mfano...?
ana pigaje mwayo (yawning) ..?
ana nawaje mdomo kwa mfano..?
View attachment 530349
Zinaongeza NGUVU ZA KUKE.Je nywele za huyu zinaongeza nguvu za nini...?
View attachment 530366
Du kumbe UISLAMU=UTAMADUNI WA KIARABU.Kwa kawaida dini huakisi utamaduni wa walioanzisha hiyo dini. Ufugaji wa ndevu, uvaaji wa makobazi na viatu open ni utamaduni wa watu wa mashariki ya kati uislamu ulikochipua.
Kweli kabisa mkuu. Kuongea kiarabu (maana wanapenda sana kuongea kiarabu) waliamrishwa na mtume pia?Kwa maoni yangu, ndevu hazina uhusiano na imani ya dini, ila Waislamu wanafuata utamaduni wa kiarabu. Kuvaa kiffuga ndevu, lugha na kila kitu. Kuna michanganyo tu. (I'm standing to be corrected)
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Ulimuona wapi mkuu?Jiulize yesu alivaa BUTI.
jiulize yesu alivaa SUTI
jiulize yesu alikuwa ANANYOA NDEVU?
Alikuwa ustaadhi?Miaka ya 1998 - 2002 pale Njombe sec kulikuwa na mwalm wa hesabu alikuwa na ndevu huyo haoni ndan lakin yeye kichwan ni ubara siku zote
Alikuwa anavaa KANZUUlimuona wapi mkuu?
Kwa hiyo ~sunnah~ kumbe ni suala la hiari mkuu?Hao ni wasioelewa maana yake. Sunnah ni jambo alilolifanya mtume au alilopendekeza mtume. Ukilifanya unapata kheri na usipolifanya hupati dhambi. Hiyo ndio sunna ya mtume na pia sunna sahihi zipo katika vitabu na zinatambulika kisheria.
Unaeza ukanyofoa na mdomo labda upitishe kijinga cha motoNamnyofoa ndevu zake asinisumbue mie
Denda ndiyo nn?HIVI MTU KAMA HUYU ANAKULA VIPI?JE DENDA ANAPIGA VIPI?