Uhusiano kati ya Uislamu na kufuga ndevu nyingi

Ndo ujue yesu nabii isa alikua muislam ndamana alifuga ndevu
 
Ndevu bila swala ni uchafu tu
.
.
Sheik Kipoozeo kasema
 
Ndevu bila swala ni uchafu tu
.
.
Sheik Kipoozeo kasema
 
Hivi unaweza kujiita mwanaume bila ndevu....nyie ndio kina kaoge nyinyi hadi kivuzi cha nyuma mnatoa...ujinga kabisa
 
kuna mambo yanahitaje moyo sana....just imagine .
Hivi mtu kama huyu anakula vipi..?
anapigaje mswaki...?
anakulaje denda kwa mfano...?
ana pigaje mwayo (yawning) ..?
ana nawaje mdomo kwa mfano..?

View attachment 530349
huyo jamaa nae kazidi mtume Muhammad (s.w) alifuga ndevu si sharubu kama hiyo picha ya uyo rasta ulo tuletea...
 
Kanzu na ndevu ni sunnah, kuhusu makobaz ni uamuz wa mtu na wanaovaa kanzu alaf chin makobaz ni ktk kumatch and confortability pia haikatazw kuvaa chochote mguuni uwapo na kanzu
 
Nini maana ya SUNNAH mkuu??
Sunnah maanayake mkuu ni mwenendo wa maisha ya mtume katika nyanja zote mf:- jinsi alivyo kula, alivyo vaa alivyo tembea. kwa mfano mtume alipo kuwa akitembea barabarani alikuwa anapendelea kupita upande wa kulia huku macho yake akiwa ameinamisha chini ko ni sunnah kwa waislamu wote wanapokuwa wakitembea barabarani wapite upande wakulia wa barabara huku wakiwa wameinamisha macho yao chini... hiyo ndio maana ya sunnah ya mtume (s.w) nadhani nimeeleweka mkuu...
 
kuna mambo yanahitaje moyo sana....just imagine .
Hivi mtu kama huyu anakula vipi..?
anapigaje mswaki...?
anakulaje denda kwa mfano...?
ana pigaje mwayo (yawning) ..?
ana nawaje mdomo kwa mfano..?

View attachment 530349
Hahaaaaaa just imagine siku ameumwa we ndo umepewa kazi ya kumnywesha uji,,,unaeza tafuta mdomo na ukaukosa[emoji23]
 
Ni sunnah tu nothing more kitu sunnah ukifanya unapata thawabu ukiacha hupati dhambi so mapendekezo ya mtu tu mwenyew
 
Mbona siku hizi wazungu mbali mbali katika nchi mbali mbali za Wazungu duniani nao hufuga madevu mengi tu? Imekaaje hii!?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…