Hakuna mwenye nguvu/uthubutu wa kumkamata, labda kukamata Mbowe hotelini. nani angelimsogelea? Kwanini wamemuua, wangelimshoot miguu wakapata information nyingi toka kwake.. sasa wameogopa kumsogelea kwa karibu kumshoot miguuni
Mlitaka magaidi ndo hao sasa,the rest ni ngonjera zitokanazo na ujingaNani kakuaminisha kua uhalifu ni lazima uibe kitu?
Sasa Sirro aseme na bajeti ya ugaidi wa huyu bwana ili tulinganishe na bajeti ya ugaidi wa laki 6 (USD 270)....!!Naomba niwape pole wakazi wa Dar Es Salaam, Polisi na ndugu wa Polisi waliofariki katika tukio la leo.
Tukio hili la anayeshukiwa kuwa jambazi kufyatua risasi hovyo, limeshtua watu wengi. Niwape hongera Polisi kwa kazi hiyo.
Naomba kwanza niseme kuwa huyu mtu sio mgeni machoni pa vyombo vya usalama. Inaonekana wanamjua, na ndio maana wamemuua moja kwa moja na hawajataka kumkamata. Pia, anaonekana hakuwa na nia ya kuua raia, kwani hakuua yeyote aliyekuwepo kwenye gari au karibu zaidi.
Kuna ujumbe alikuwa analeta kupitia tukio hili. Cha kwanza, nikutaka watu wamuone na aonekane kwenye media kwani kaenda eneo ambalo lina ulinzi mkubwa sana na alijua kuwa atakufa tu. Nadhani alitaka kuonesha kwamba Polisi hawana huruma na weledi, kwa kuwa hawatamkamata.
Uhusiano uliopo na kesi ya Mbowe, ni kuwa huyo jambazi alikuwa anataka kuonesha maana sahihi ya ugaidi wa silaha. Pengine katumwa kujitoa mhanga au alikuwa na madai yake binafsi lakini lazima utakuwa ni mpango wa kikundi cha watu na siyo kwamba huyo jambazi ni kichaa.
Ni mtu timamu, na ndiyo maana hajalenga au piga risasi mtu yeyote au kitu chochote kwa lengo la kuua.
Wito wangu, ni kwa Polisi wote nchini hasa wa usalama barabarani na watu wa idara ya usalama wa taifa kuongeza umakini ili lisije jirudia tukio kama hili. Pia, ufanyike uchunguzi wa kina zaidi kuhusu tukio hili
OyessssCCM Mungu anawaona kama alivyomwona Magufuli. Endeleeni tu kama vile hii dunia ni mali ya shetani!
Huyu jamaa kawaaibisha sana CCM na Ugaidi wao wa kutunga.Mlitaka magaidi ndo hao sasa,the rest ni ngonjera zitokanazo na ujinga
Naomba niwape pole wakazi wa Dar Es Salaam, Polisi na ndugu wa Polisi waliofariki katika tukio la leo.
Tukio hili la anayeshukiwa kuwa jambazi kufyatua risasi hovyo, limeshtua watu wengi. Niwape hongera Polisi kwa kazi hiyo.
Naomba kwanza niseme kuwa huyu mtu sio mgeni machoni pa vyombo vya usalama. Inaonekana wanamjua, na ndio maana wamemuua moja kwa moja na hawajataka kumkamata. Pia, anaonekana hakuwa na nia ya kuua raia, kwani hakuua yeyote aliyekuwepo kwenye gari au karibu zaidi.
Kuna ujumbe alikuwa analeta kupitia tukio hili. Cha kwanza, nikutaka watu wamuone na aonekane kwenye media kwani kaenda eneo ambalo lina ulinzi mkubwa sana na alijua kuwa atakufa tu. Nadhani alitaka kuonesha kwamba Polisi hawana huruma na weledi, kwa kuwa hawatamkamata.
Uhusiano uliopo na kesi ya Mbowe, ni kuwa huyo jambazi alikuwa anataka kuonesha maana sahihi ya ugaidi wa silaha. Pengine katumwa kujitoa mhanga au alikuwa na madai yake binafsi lakini lazima utakuwa ni mpango wa kikundi cha watu na siyo kwamba huyo jambazi ni kichaa.
Ni mtu timamu, na ndiyo maana hajalenga au piga risasi mtu yeyote au kitu chochote kwa lengo la kuua.
Wito wangu, ni kwa Polisi wote nchini hasa wa usalama barabarani na watu wa idara ya usalama wa taifa kuongeza umakini ili lisije jirudia tukio kama hili. Pia, ufanyike uchunguzi wa kina zaidi kuhusu tukio hili
Huyu jamaa kawaaibisha sana CCM na Ugaidi wao wa kutunga.
Acha utoto wewe, sikiliza mashahidi apa
Dizaini alishabab
Watalewa tu muda ni mwalimu mzuri sana.
Wanajeshi tuliopeleka mpakani, MAGAIDI yamekasirikia Serikali na yataua sana Dar na mikoani, acha walete siasa zao za kupambana na Mbowe.
Hakuna ushahidi kwamba aliyeuawa ni gaidi...
Kumbe ulikua umejikoki kwa ajili ya kubishana!Mlitaka magaidi ndo hao sasa,the rest ni ngonjera zitokanazo na ujinga
Mimi nasema Polisi wamekosa weledi kwa kushindwa ku kumthibiti yule mtu pasipo kipoteza uhai wake. Hakuwa na cover yoyote ya kushindwa kudhibiti. Sababu hawajui/hatujui alikuwa na masahibu gani!!! Angehojiwa tungejua ni mgonjwa, maisha yamemshinda, anamadeni, ametumwa n.k.
View attachment 1908009
Bro nenda kajaribu kumtuma mtu kama huyo. Hebu acheni upuuzi wa kutufanya sisi mazezeta.Naomba niwape pole wakazi wa Dar Es Salaam, Polisi na ndugu wa Polisi waliofariki katika tukio la leo.
Tukio hili la anayeshukiwa kuwa jambazi kufyatua risasi hovyo, limeshtua watu wengi. Niwape hongera Polisi kwa kazi hiyo.
Naomba kwanza niseme kuwa huyu mtu sio mgeni machoni pa vyombo vya usalama. Inaonekana wanamjua, na ndio maana wamemuua moja kwa moja na hawajataka kumkamata. Pia, anaonekana hakuwa na nia ya kuua raia, kwani hakuua yeyote aliyekuwepo kwenye gari au karibu zaidi.
Kuna ujumbe alikuwa analeta kupitia tukio hili. Cha kwanza, nikutaka watu wamuone na aonekane kwenye media kwani kaenda eneo ambalo lina ulinzi mkubwa sana na alijua kuwa atakufa tu. Nadhani alitaka kuonesha kwamba Polisi hawana huruma na weledi, kwa kuwa hawatamkamata.
Uhusiano uliopo na kesi ya Mbowe, ni kuwa huyo jambazi alikuwa anataka kuonesha maana sahihi ya ugaidi wa silaha. Pengine katumwa kujitoa mhanga au alikuwa na madai yake binafsi lakini lazima utakuwa ni mpango wa kikundi cha watu na siyo kwamba huyo jambazi ni kichaa.
Ni mtu timamu, na ndiyo maana hajalenga au piga risasi mtu yeyote au kitu chochote kwa lengo la kuua.
Wito wangu, ni kwa Polisi wote nchini hasa wa usalama barabarani na watu wa idara ya usalama wa taifa kuongeza umakini ili lisije jirudia tukio kama hili. Pia, ufanyike uchunguzi wa kina zaidi kuhusu tukio hili
Jambazi kaiba nini? Au zile bunduki?
Vyombo gani vya sheria? Labda vyombo vya biriani.
Unapinga sio gaidi wakati huo huo hausemi ni nani huyo mtu,tukueleweje sasa? Hauna analysis yoyote.
Duu .kumbe ni alshababu?? Mie pia Nina wasiwasi mwingi kuona jeshi letu lokoshitikiana na jeshi LA USA uhaidi unaweza ongezeka
Aliekuambia ni gaidi ni nani? Sikiliza hapaMlitaka magaidi ndo hao sasa,the rest ni ngonjera zitokanazo na ujinga
Wakimuachia mbowe magaidi hayatokuja?Watalewa tu muda ni mwalimu mzuri sana.