Uhusiano uliopo kati ya kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe na tukio la jambazi

Hakuna mwenye nguvu/uthubutu wa kumkamata, labda kukamata Mbowe hotelini. nani angelimsogelea? Kwanini wamemuua, wangelimshoot miguu wakapata information nyingi toka kwake.. sasa wameogopa kumsogelea kwa karibu kumshoot miguuni

dogo una kipaji sana cha kubwabwaja kuhusu mbowe,haya mengine kitulize.

yule jamaa akili imemruka pale,ukipiga mguu alachuchumaa,anaanza kutupa risasi hovyo,ungekua wa kwanza kulaumu polisi walichofanya.

halafu mtu aliyetoka kuua na kuona damu za mtu,sio sawa na kamanda aliyetoka kumpokea lissu airport.
 
Naomba niwape pole wakazi wa Dar Es Salaam, Polisi na ndugu wa Polisi waliofariki katika tukio la leo.

Tukio hili la anayeshukiwa kuwa jambazi kufyatua risasi hovyo, limeshtua watu wengi. Niwape hongera Polisi kwa kazi hiyo.

Naomba kwanza niseme kuwa huyu mtu sio mgeni machoni pa vyombo vya usalama. Inaonekana wanamjua, na ndio maana wamemuua moja kwa moja na hawajataka kumkamata. Pia, anaonekana hakuwa na nia ya kuua raia, kwani hakuua yeyote aliyekuwepo kwenye gari au karibu zaidi.

Kuna ujumbe alikuwa analeta kupitia tukio hili. Cha kwanza, nikutaka watu wamuone na aonekane kwenye media kwani kaenda eneo ambalo lina ulinzi mkubwa sana na alijua kuwa atakufa tu. Nadhani alitaka kuonesha kwamba Polisi hawana huruma na weledi, kwa kuwa hawatamkamata.

Uhusiano uliopo na kesi ya Mbowe, ni kuwa huyo jambazi alikuwa anataka kuonesha maana sahihi ya ugaidi wa silaha. Pengine katumwa kujitoa mhanga au alikuwa na madai yake binafsi lakini lazima utakuwa ni mpango wa kikundi cha watu na siyo kwamba huyo jambazi ni kichaa.

Ni mtu timamu, na ndiyo maana hajalenga au piga risasi mtu yeyote au kitu chochote kwa lengo la kuua.

Wito wangu, ni kwa Polisi wote nchini hasa wa usalama barabarani na watu wa idara ya usalama wa taifa kuongeza umakini ili lisije jirudia tukio kama hili. Pia, ufanyike uchunguzi wa kina zaidi kuhusu tukio hili
Sasa Sirro aseme na bajeti ya ugaidi wa huyu bwana ili tulinganishe na bajeti ya ugaidi wa laki 6 (USD 270)....!!
 
CCM Mungu anawaona kama alivyomwona Magufuli. Endeleeni tu kama vile hii dunia ni mali ya shetani!
Oyessss

IMG-20210825-WA0067.jpg
 
Bro nenda kajaribu kumtuma mtu kama huyo. Hebu acheni upuuzi wa kutufanya sisi mazezeta.
 
Watalewa tu muda ni mwalimu mzuri sana.
Wanajeshi tuliopeleka mpakani, MAGAIDI yamekasirikia Serikali na yataua sana Dar na mikoani, acha walete siasa zao za kupambana na Mbowe.
Wakimuachia mbowe magaidi hayatokuja?
 
Back
Top Bottom