Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Ndiyo wengi walipelekwa kulala na suruali shimoniHata shimoni nilikuwa natinga kama kawaida, ila nasikia Shop ten haipo tena wote wamehamishiwa shimoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo wengi walipelekwa kulala na suruali shimoniHata shimoni nilikuwa natinga kama kawaida, ila nasikia Shop ten haipo tena wote wamehamishiwa shimoni
Hakuna watu wavivu na roho mbaya kama Wanyamwezi, Msukuma ni mtu mchapakazi hodari na mkarimu sana..... Kwa muktadha huo sidhani kama kuna uhusiano wa moja kwa moja
Hizo za ukarimu ni RECORD za wapi wana Jamvi? Mimi nimekaa huko kwao karibia kote kwa muda mrefu zaidi ya miaka 13 nataka niwaambie Record ya ukarimu mnayosema ni uongo labda nanyi ni wasukuma lkn Wasukuma wanaroho nzuri wakiwa nje ya Ardhi yao yaani wakiwa ugenini lkn wakiwa kwao wanaroho mbaya na kimsingi hawafai kuigwa.
NB. Nimeishi mwanza kisesa,misungwi,bariadi maswa na Tabora Mjini ndiko niliko soma O level.
Hapo mchanhia mada naona umechapia,hayo makabila yote uliyoyataja kihistolia yametokea mbali sana kuliko unavodhani ni jirani na mipaka mipya baada ya kuja wakoloni.Mfano wajaluo ni Nilotics wanaotokea Sudan.Wahaya nao wametokea Magharibi ya Afrika tofauti na Uganda so ni kama historia ya Wasukuna Wanyamwezi hawa wakasambaa huku na wengine kule..Nafikiri watanzania wengi ni wazamiaji,tumetoka nchi mbalimbali kwa sababu mbalimbali...Mfano Waha ni waburundi,Wamanyema ni wakongo,Wahaya ni waganda,Wajaluo ni wakenya,Wachagga ni Wakikuyu wa Kenya,Wamakonde ni wamsumbiji..the list goes on and on...