MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,099
- 7,466
NalimholaNimeona watu wengi wameelezea wasukuma na wanyamwezi hapa na makabila yanayoambatana nayo.
Kuua mziki wa fitina wale wenzangu na mie eanyamwezi na binamu zetu wasukuma na viunga vyake tuanze kuongea kisukuma na kinyamwezi ili tuwahakikishie kuwa makabila haya makuu tunasikilizana au hata lugha zetu ni tofauti.
Haya mwendo kasi.... tuanze....
Wangaluka wosee, mlimhola?