Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa chenga kweli yaani utemi ni ubabe???nikusahihishe kidogo...Mirambo hakuwa na Empire kama inavyoeleweka..
Isipokua alikua Mtemi kwa maana ya Ubabe tu...
hahaaaaa... lugha nyepesi sana iliyotumika ndugu...Huyu jamaa chenga kweli yaani utemi ni ubabe???
Mkuu, naambiwa umemsahau chifu Kitambi wa Uyui.Mkuu kifupi kabila la wanyamwezi ni watu waliotoka magharibi mwa afrika,Niger-Congo,kabila mama ni Wanyamwezi,wasukuma ni tabaka lilikotoka kwenye kabila kubwa la wanyamwezi.Katika kabila kubwa la wanyamwezi kuna mashina(makabila matano) yametoka humo,na yanafanana kitabia,asili,lugha,desturi nk.Mashina hayo ni kabila la Wanyamwezi,wakonongo,wakimbu,wasumbwa na wasukuma.Wanyamwezi walipotoka magharibi mwa afrika waliweka makazi Tabora kabla ya kuanza kusambaa kuelekea kaskazini magharibi(ukanda wa ziwa).Hivyo mpaka sasa Tanzania kabila linaloongoza kuwa na watu wengi ni Wasukuma,wakifuatiwa na kabila la pili kwa ukubwa ni wanyamwezi.Makabila haya kwa kifupi yanaongoza kwa kuchapa kazi na ukarimu..ndio maana toka Enzi wanasema 'mzigo mzito mpe mnyamwezi',na hata marekani(ambayo inasifika kwa watu wake ukarimu wa kusaidia watu wengine inaitwa 'unyamwezini',hela yao ya dola inaitwa 'mnyamwezi', au mtu akiwa anamzungumzia rafiki yake wa ukweli utasikia akisema 'mnyamwezi wangu'. Lakini pia ndio makabila yanaongoza kwa ushujaa na mapambano,ndio maana machifu wao ni maarufu zaidi kuliko wa makabila mengine kama chifu mirambo na jeshi lake la wavuta bangi 'maarufu kama warugaruga',chifu Isike,chifu Mihayo,chifu Fundikira nk. Makabila haya yanasifika kwa kilimo na ufugaji,pia kwa ukarimu wa hali ya juu hususani wasukuma.Hakuna kabila wakarimu kama wasukuma,labda ndio maana Mungu nae amewazidishia katika ardhi yao kuna kila aina ya neema,chakula cha kutosha,masamaki,madhahabu,mapamba,mang'ombe,maasali,mahela... nk. Ila pia hawako nyuma kwenye uchawi na mizimu hasa kama umewaonea au umewaibia.Inawezekana ni mauchawi waliyotoka nayo huko afrika magharibi na njiani walipopitia congo kuingia Tanzania.So take care
Ni Milambo na sio Mirambo.
Nimekupata mkuu..kina mwanamalundi nkMkuu, naambiwa umemsahau chifu Kitambi wa Uyui.
Hizo za ukarimu ni RECORD za wapi wana Jamvi? Mimi nimekaa huko kwao karibia kote kwa muda mrefu zaidi ya miaka 13 nataka niwaambie Record ya ukarimu mnayosema ni uongo labda nanyi ni wasukuma lkn Wasukuma wanaroho nzuri wakiwa nje ya Ardhi yao yaani wakiwa ugenini lkn wakiwa kwao wanaroho mbaya na kimsingi hawafai kuigwa.Unataka kuniambia wanyamwezi na wasukuma sio watanzania halisi Bali wazamiaji,? Sasa kina Bashe na kina rostam Kila siku tunawasema bure kumbe hakuna mwenye nchi yake,
Nakubaliana na wewe kuwa wasukuma Ndio Kabila lenye ukarimu kuzidi makabila yote Tanzania, na wanawake wao wanaweza kushika nafasi ya Kwanza kwa nidhamu pia
Dduh....hii kali..watakusikia Wasambaa wewe..shauri yako..Hata ngoma ya mdumange asili yake ni Waswezi wa Tabora.
Kote huko ulikotaja sidhani kama ulikuwa unakutana na wasukuma wanaoongelewa kuwa wakarimu isipokuwa umekutana na wasumbwa, ntuzu people, wazinza, na wasumabhu. Kwa mgeni ataishia kumwita mnyamwezi au msumbwa ni msukuma hali si msukuma.Hizo za ukarimu ni RECORD za wapi wana Jamvi? Mimi nimekaa huko kwao karibia kote kwa muda mrefu zaidi ya miaka 13 nataka niwaambie Record ya ukarimu mnayosema ni uongo labda nanyi ni wasukuma lkn Wasukuma wanaroho nzuri wakiwa nje ya Ardhi yao yaani wakiwa ugenini lkn wakiwa kwao wanaroho mbaya na kimsingi hawafai kuigwa.
NB. Nimeishi mwanza kisesa,misungwi,bariadi maswa na Tabora Mjini ndiko niliko soma O level.
Hapa ndo mtu anatakiwa aelewe kabila la wasukuma ni kubwa kuliko mtu anavyoweza dhania na lina vijikabila vingi sana ndani yake ambavyo vina tabia za kwake tu tofauti na zile za wasukuma wanaopigiwa chapuo kila siku.Wanyantuzu ni 0% kwa uaminifu na wao wanawakilisha kabila la wasukuma na maranyingi wanajiita wasukuma Original.
ASANTE MKUU NIMEKUPATA VEMA.Hapa ndo mtu anatakiwa aekewe kabila la wasukuma ni kubwa kuliko mtu anavyoweza dhania na lina vijabila vingi sana ndani yake ambavyo vina tabia za kwake tu tofauti na zile za wasukuma wanaopigiwa chapuo kila siku.
Kwa mfano ni hawa wanyantuzu huwezi wafananisha na wa wasukuma licha ya kupatikana kanda ile ile na hata kutofautiana katika kisukuma. Wanyantuzi katika case ya mapenzi ni sawa na biashara zingine haramu. Mnyantuzu akiona maisha yamempiga yuko ladhi kuhamia dakama (kusini kwa wanyamwezi/wadakama) na mkewe na akifika huko kila mmoja kivyake japokuwa mawasiliano ni kama kawaida. Ataishi huko huku mkewe akilengesha kwa wanaume wamtongoze na hakatai, ole wako umtongoze atakubali fasta na kukukaribisha kwake ukalale. Ile unaingia tu na kuvua nguo zote mmewe anaibuka na watu wake wanakukamata ugoni na mke akihojiwa anakiri kulala na wewe hapo unagongwa faini ya nguvu ya ng'ombe lukuki. Ukishatoa tu ng'ombe jamaa anarudi kwao na mifugo "okwabha ushinhu".
Vile vile kwa asili ni wagawaji wazuri.
Wasukuma original hawako kama wanyantuzu na wako poa sana katika mahusiano, ni wapole na wakarimu sijawahi ona katika nchi hii.
Mimi Msukuma Original ndiye baba yenu nyie Wanyamwezi!!Brief and clear, safi sana mtegamasikio. Me pia mnyamwezi mwenzio.
Mkuu, ukisikiliza na kuona ngoma ya mdumange utakubaliana nami. Kasoro hapo ni lugha tu.Dduh....hii kali..watakusikia Wasambaa wewe..shauri yako..
Waswezi wana ngoma zao..
Wasukuma linatokana na SUKUMA au fukuza. Hawa walifukuzwa toka Tabora na kuanza kutafuta pahala pa kuishi na ndoo maana ni waharibifu wa mazingira.Hizo za ukarimu ni RECORD za wapi wana Jamvi? Mimi nimekaa huko kwao karibia kote kwa muda mrefu zaidi ya miaka 13 nataka niwaambie Record ya ukarimu mnayosema ni uongo labda nanyi ni wasukuma lkn Wasukuma wanaroho nzuri wakiwa nje ya Ardhi yao yaani wakiwa ugenini lkn wakiwa kwao wanaroho mbaya na kimsingi hawafai kuigwa.
NB. Nimeishi mwanza kisesa,misungwi,bariadi maswa na Tabora Mjini ndiko niliko soma O level.