Uhusiano wa binadamu na kupenda viharufu vya mwili

Uhusiano wa binadamu na kupenda viharufu vya mwili

miaka 22 imepita, alikuwa na harufu natural nzuri sanaa. Yule mtoto hakuwa anapata hizo marashi ila harufu yake ua kuzaliwa ni zaidi ya marashi
Nimesoma 2013 kumbe ni 2003 😂 😂 😂

Aiseeehhh, miaka 22, bado kuna kapochi manyoya ambako hata si ka mke wako unakakumbuka harufu yake.
Ila wanaume 🙌🙌🙌
 
Nimesoma 2013 kumbe ni 2003 😂 😂 😂

Aiseeehhh, miaka 22, bado kuna kapochi manyoya ambako hata si ka mke wako unakakumbuka harufu yake.
Ila wanaume 🙌🙌🙌
😁😁😁 alafu sasa, kuna mtoto alikuwa hajazaliwa leo kafikisha 22 nae anakazwa vizuri kabisa wakati wenzake tumeanza yeye bado yupo tumboni
 
😁😁😁 alafu sasa, kuna mtoto alikuwa hajazaliwa leo kafikisha 22 nae anakazwa vizuri kabisa wakati wenzake tumeanza yeye bado yupo tumboni
Yani watoto wa 2,000
Nishawahi kutongozwa na katoto kana miaka 21 nikabaki nacheka tu 😂!
 
Kanataka kaichapee eeh 😁😁..
Ndiyo, na ukivichekea kimasikhara vinakukula.
Ndio maana vina laana sana hivi vitoto, vinapenda chungulia mama zao.. Lakini umeona zigo la kaka tembo
Nimeliona, je hii subtle message nini? kuna kitu unataka kutuambia kuhusu wewe na huyu tembo 😂😆😎
 
Ndiyo, na ukivichekea kimasikhara vinakukula.

Nimeliona, je hii subtle message nini? kuna kitu unataka kutuambia kuhusu wewe na huyu tembo 😂😆😎
😅😅 kanakukula na unakaachia laana ya kuchezea nyuchi.. na ukute sio kafilauni sasaaa...

mie changu ni 🌶️🌶️.. nyie si ndio mwapenda kitu kama hiyo
 
🤠🤠 vijana ndio walipofikia hasa gen z na hata twa kike tena tunaiomba kabisaa.. siku moja nilisogea kaeneo kao hapo, ni shida aisee vina mambo mazito kweli kweli
Mbona unaongea kama na wewe 🫵 ni Gen Z?
Binafsi ni mtu mzima nina mipaka, kuna vitu siwezi kukubaliana navyo.
 
Mbona unaongea kama na wewe 🫵 ni Gen Z?
Binafsi ni mtu mzima nina mipaka, kuna vitu siwezi kukubaliana navyo.
How Gen Z ? Kuna siku nilienda kwenye sehemu ( hiyo sehemu wanapenda sana kwenda hawa watoto wa Gen Z ). Vitu walivyokuwa wanafanya na kuongea ni vizito sana. ( nilochosikia na kuona ) . Rejea juu huko ni masimulizi na matukio ya Gen Z ambayo nimeshuhudia na kuyaona na kusikia mengine
 
Back
Top Bottom