kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Na ukimwambia mtu anaweza kukuchukiaWengi huwa hawajijui, harufu ya mdomo huwa inakata sana!
Na ukimwambia mtu anaweza kukuchukiaWengi huwa hawajijui, harufu ya mdomo huwa inakata sana!
Hii nayo kali 🤣🤣🤣Mimi ile harufu ya mfereji wa nyuma tu wa bebe huwa nabaki hoi, na nikiushika sinawi huo mkono ili niwe nanusa kutwa nzima!!
Kabisa, anaona kama umemdhalilisha wakati ni ukweli.Na ukimwambia mtu anaweza kukuchukia
Picha ya kwenye nyuzi, huyo ni MESamahani sista huyo kwenye picha ni me au ke?
Wewe tena 😂 😂 huwa unalaza pua huko usiku mzima nini?Napenda sana harufu ya kipapa😎😎
Kuna mwanamke mmoja nililala nae mkoani Tabora miaka ya 2003 hadi leo hii harufu yake nzuri inazunguka ndani yangu.Tafakuri ya jumapili: Kuna mtu humu alisema alifanya ngono na shemeji yake kwa sababu alikua na harufu flani ya jasho la kwapa ikamuamsha hisia za kimapenzi.
Nimeshasoma nyuzi wa wakaka humu wanasema huwa wanapenda kaharufu ka asili na wengine kauvundo ka papuchi.
Tuambizane:
- Je harufu huwa inakuvutia kwa kwa mpenzi au watu wanaokuzunguka?
- Ni harufu gani ya kipekee unaikumbuka au ilikutengenezea matamanio?
- Una kisa chochote kinachohusu harufu za mwili? (iwe mbaya au nzuri)
View attachment 3476878
No nikitaka jambo lile ndio napeleka pua 😎😎 fantasy 🥰🥰Wewe tena 😂 😂 huwa unalaza pua huko usiku mzima nini?
Chezea utamu wa chumvi chumvi wewe 😂😂Nazipenda Sana na ile chumvi 😎 Cc Binti wa zamani
Ni Raha sana walahi 😎Chezea utamu wa chumvi chumvi wewe 😂😂
Niambie, vipi kicheko chako kimerudi au bado?Binti wa zamani mama Antipas🥰
Bado mama Antipas, nashangaa wew imoNiambie, vipi kicheko chako kimerudi au bado?
Naona Kuna emoji ya 🔥Niambie, vipi kicheko chako kimerudi au bado?
Yap, ipoNaona Kuna emoji ya 🔥
Mimi ni VVIP 😉😂 😂Bado mama Antipas, nashangaa wew imo
Best emojiYap, ipo