Uhusiano wa binadamu na kupenda viharufu vya mwili

Hawawezi kuniiba hao hawana uwezo huo, kwako nilishatia nanga mama antipass
giphy.gif
 
On a scale of 1-10, kikwapa cha 3 au 3.5 kinasisimua.

Kikwapa cha 7-10 kinakera.

Sasa ili kupata ile right amount ya kikwapa, inabidi uwe fundi kiasi.

Ni lazima ujijiue kwa asili wewe una kikwapa cha aina gani maana genetics zina play role kubwa sana.

Kwa mfano, Wakorea na orientals wengine huwa hawana genes zinazosababisha vikwapa. Na ndo maana wengi wao huwa hawapaki deodorant.

Hata Tanzania watu wasio na hiyo gene ya ABCC11 wapo, ila ni wachache sana.

Mchuchu akijijua level yake ya kikwapa na akajua namna ya kuki regulate, inakuwa bomba sana.
 
Back
Top Bottom