Uhusiano wa binadamu na kupenda viharufu vya mwili

Uhusiano wa binadamu na kupenda viharufu vya mwili

Kunuka kwa masikio na kinywa ni ugonjwa kuna baadhi wanajijua kama wao wananuka na wengine hua hawajijui kabisa mpk uwaambie

Hizo harufu ndo huleta changamoto kwa mtu wako wa karibu rafiki/mpenzi aisee bora unuke kwapa utapakaa deodorant au perfyum lkn sio masikio na kinywa
Sijawahi kukutana na mtu wa namna hiyo, yani masikio yananuka kwa sababu mtu hasafishi au ni harufu yake tu ndiyo alivyo?
 
Back
Top Bottom