Uhusiano wa binadamu na kupenda viharufu vya mwili

Na masikio Tena yananuka? Vipi kinywa
Kunuka kwa masikio na kinywa ni ugonjwa kuna baadhi wanajijua kama wao wananuka na wengine hua hawajijui kabisa mpk uwaambie

Hizo harufu ndo huleta changamoto kwa mtu wako wa karibu rafiki/mpenzi aisee bora unuke kwapa utapakaa deodorant au perfyum lkn sio masikio na kinywa
 
Sasa unahisije harufu ya sikioni lbd anakuwa ni mgonjwa either sikio linatoa usaha. Mimi najua Ile Radha Kali ya sikioni ukipeleka ulimi aisee Kuna watu ni changamoto kusafisha masikio
 
Sikio kunuka ni ugonjwa usaha ndo hua unatoa harafu,😂😂unajua mpk radha ya uchafu wa sikio
 
Back
Top Bottom