Uhusiano wa binadamu na kupenda viharufu vya mwili

Uhusiano wa binadamu na kupenda viharufu vya mwili

Mimi si wa mambo ya kyagata , ila ni kweli, kuna wanawake wengi humu duniani wanapenda harufu asilia bila kujali wanatoka nchi gani- kwa asilimia nyingi kwa kweli na nimekutana nao wengi.
Nimekutananao wengi wenye kupenda harufu asilia- ngozi yetu, nyeupe, asia, waarabu na kila aina.
True kabisa
Mfano mdogo, wakiwa wajawazito, wengine huwa wana crave harufu ya choo... wengine harufu ya maembe, wengine ubuyu. Wengine wanapenda kupelekewa A to M.
Wengine wanapenda mishumaa kama hii 😅
smells like.jpg

siku moja ipo siku watatengezewa perfum ya kunuka mavi na wataipaka tu kama design yao... samahani kama umechefukwa, sio kusudi langu ila hayo ndiyo nimeyaona mpaka sasa katika maisha haya.
Mbona tayari kuna perfume za farts scent, nimeshawahi kuona kwenye duka moja huko duniani
 
Tafakuri ya jumapili: Kuna mtu humu alisema alifanya ngono na shemeji yake kwa sababu alikua na harufu flani ya jasho la kwapa ikamuamsha hisia za kimapenzi. 



Nimeshasoma nyuzi wa wakaka humu wanasema huwa wanapenda kaharufu ka asili na wengine kauvundo ka papuchi.

Tuambizane:
  1. Je harufu huwa inakuvutia kwa kwa mpenzi au watu wanaokuzunguka? 


  2. Ni harufu gani ya kipekee unaikumbuka au ilikutengenezea matamanio.

  3. Una kisa chochote kinachohusu harufu za mwili? (iwe mbaya au nzuri)


    View attachment 3476878
Me napataga mafua
 
Back
Top Bottom