Uhusiano wa binadamu na kupenda viharufu vya mwili

Uhusiano wa binadamu na kupenda viharufu vya mwili

Acha kabisa mkubwa mwenzangu, binafsi kale kaharufu kawe OG kusiwe na deodorant wala spray yoyote.
giphy.gif


Hatari na nusu 🤣🤣
 
Tusidanganyane na kaharufu ka asili, bali huo ni uchafu. Ukijiona unanuka makwapa na sehemu za siri nenda kaoge kabla ya kufanya mapenzi. Ukipenda viharufu harufu ni tabia ya uchafu.
Learn to embrace diversity Mkuu, Binafsi huwa naenjoy zaidi Mwanamke akiwa na smell Fulani,
Naheshimu pia watu wanaopenda marashi
This is how it is
 
Back
Top Bottom