Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #221
Sawa mtu mzima mwenzangu 😂 ambaye naaanza kukuhisi ni TISS 😎How Gen Z ? Kuna siku nilienda kwenye sehemu ( hiyo sehemu wanapenda sana kwenda hawa watoto wa Gen Z ). Vitu walivyokuwa wanafanya na kuongea ni vizito sana. ( nilochosikia na kuona ) . Rejea juu huko ni masimulizi na matukio ya Gen Z ambayo nimeshuhudia na kuyaona na kusikia mengine