Uhusiano wa binadamu na kupenda viharufu vya mwili

Uhusiano wa binadamu na kupenda viharufu vya mwili

Perfume
Mimi si wa mambo ya kyagata , ila ni kweli, kuna wanawake wengi humu duniani wanapenda harufu asilia bila kujali wanatoka nchi gani- kwa asilimia nyingi kwa kweli na nimekutana nao wengi.
Nimekutananao wengi wenye kupenda harufu asilia- ngozi yetu, nyeupe, asia, waarabu na kila aina.
Mfano mdogo, wakiwa wajawazito, wengine huwa wana crave harufu ya choo... wengine harufu ya maembe, wengine ubuyu. Wengine wanapenda kupelekewa A to M. siku moja ipo siku watatengezewa perfum ya kunuka mavi na wataipaka tu kama design yao... samahani kama umechefukwa, sio kusudi langu ila hayo ndiyo nimeyaona mpaka sasa katika maisha haya.
Perfume zenye harufu mbaya (zinazonuka) mbona zipo kitambo? Au huko Tz hazipatikani?
 
Back
Top Bottom