Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #81
Kabisa, acha tufanye yale ambayo tunayamudu!Sisi wengine wacha tuendelee kula matambele😂😂
Kabisa, acha tufanye yale ambayo tunayamudu!Sisi wengine wacha tuendelee kula matambele😂😂
Tumia tafsida tuNitapigwa banned mie 😀😀
Sawa, kesho ukirudi kwenye ulimwengu wa uzinzi, uje kuleta hizo hoja zako 😎Hii mada nawaachia nyinyi wazinzi, mm nimestaafu kwa leo nipo kanisani, nitakuja kuitolea hoja kwa uzito sana hapo kesho panapo uzima...
AiseeMimi si wa mambo ya kyagata , ila ni kweli, kuna wanawake wengi humu duniani wanapenda harufu asilia bila kujali wanatoka nchi gani- kwa asilimia nyingi kwa kweli na nimekutana nao wengi.
Nimekutananao wengi wenye kupenda harufu asilia- ngozi yetu, nyeupe, asia, waarabu na kila aina.
Mfano mdogo, wakiwa wajawazito, wengine huwa wana crave harufu ya choo... wengine harufu ya maembe, wengine ubuyu. Wengine wanapenda kupelekewa A to M. siku moja ipo siku watatengezewa perfum ya kunuka mavi na wataipaka tu kama design yao... samahani kama umechefukwa, sio kusudi langu ila hayo ndiyo nimeyaona mpaka sasa katika maisha haya.
Usihofu mama la mama, hata bibi yangu na makunyanzi yake alikuwa binti wa zamani...Sawa, kesho ukirudi kwenye ulimwengu wa uzinzi, uje kuleta hizo hoja zako
Sijawahi kukutana na hiyo kadhia nadhani bora huyo anayenuka masikio kuliko anayenuka mdomo na hajijuiBora mtu anayenuka jasho kuliko anaye nuka masikio
😂😂😂Sijawahi kukutana na hiyo kadhia nadhani bora huyo anayenuka masikio kuliko anayenuka mdomo na hajijui
Mbona wewe unareact🥲Siyo kwamba unamsaidia mwenzako, umfundishe kutotoa harufu 😅😂
Nimsadie aache kunuka akianza kunukia akawafate wengine akhuuu😅😅
Bado wanafanya maboresho, hizo icon zitarudi
Na unakuta jitu linanuka mdomo na linang'ang'ania kukukiss unalikataa halielewi kabisa😂😂😂
Kumbe kuna wanao nuka na midomo
Dear hakuna kitu kinakera kama harafu yan inakata stimu kabisa
Aisee! Kumbe wanawake mkikutana pekeenu ndo huwa mnachamba hivi, nachungulia...Na unakuta jitu linanuka mdomo na linang'ang'ania kukukiss unalikataa halielewi kabisa
🤣🤣🤣acha tu na kuna mengine tunamezea hapa hatujayasemaAisee! Kumbe wanawake mkikutana pekeenu ndo huwa mnachamba hivi, nachungulia...
Hatari sana kwa afya yetu wanaume...acha tu na kuna mengine tunamezea hapa hatujayasema
Mbona apa tumesema vichache 😂Aisee! Kumbe wanawake mkikutana pekeenu ndo huwa mnachamba hivi, nachungulia...
Kati ya viumbe naviogopa katika upande wa michambo basi nyie namba 1.Mbona apa tumesema vichache
Bas kaa kwa kutuliaKati ya viumbe naviogopa katika upande wa michambo basi nyie namba 1.
Hahahah naachaje kuleta kwa mfano, halafu ninatabia fulani ya hovyo, nanyoaga kikwapa baada ya miezi mitatu si chini ya hapo.Bas kaa kwa kutulia
Ng'ombe unaleta lin kwanza
Au na ww unanuka kikwapa unaogopa ntakinusa
Wala siyo hatari mbona na nyie huwa mnatusema sana mkikaa wenyeweHatari sana kwa afya yetu wanaume...
Na masikio Tena yananuka? Vipi kinywaBora mtu anayenuka jasho kuliko anaye nuka masikio
Labda wengIne me sinaga hizo mambo, kijiwe changu kikuu ni hapa JF...Wala siyo hatari mbona na nyie huwa mnatusema sana mkikaa wenyewe