Uhusiano wa u-genious na Ukichaa

hahahahahahaaaaaaaaa............huyu genius sasa ni shida.
 
Mkuu kwa ninavyofahamu Mimi MARTIN LUTHER KING alifariki 1968 sijui alikua na umri gani lakini huku 1517 alipoanza kuandika hizo mambo kupinga uendeshaji wa kanisa katoliki, natilia shaka mkuu.... Au ni babu yake?
 
Huwa najiuliza capacity ya ubongo iko sawa kwa kila binadam ila inakuwaje mtu anakuzid akil au wengine ni uvivu ea kufkiri.ila ukitaka ufanikiwe kitu chochote kwanza uwe confident usijiunderestimate kbs utafanikiw
 
Mkuu kwa ninavyofahamu Mimi MARTIN LUTHER KING alifariki 1968 sijui alikua na umri gani lakini huku 1517 alipoanza kuandika hizo mambo kupinga uendeshaji wa kanisa katoliki, natilia shaka mkuu.... Au ni babu yake?
Huyu wa sasa ni Martin Luther Jn, na ni jina alilojipachika tu ukubwani.
Martin Luther Sn mwenyewe alikua kasisi(Padre) wa Kanisa katoliki.

Mfumo huu wa kujipachika majina ulikua mfumo wa zamani wa enzi hizo, kuonesha respect ya kufuata yale ambayo mtu anakua anayafundisha.

Mfano Papa Francis wa sasa jina lake sio hilo, au Papa John Paul II sio jina lake halisi, ni jina analojipachika maana yake yupo Papa John Paul I, ipo siku kama mfano Kardinl Pengo akiwa papa anaweza kujiita Papa John Paul wa III.
 
Huwa najiuliza capacity ya ubongo iko sawa kwa kila binadam ila inakuwaje mtu anakuzid akil au wengine ni uvivu ea kufkiri.ila ukitaka ufanikiwe kitu chochote kwanza uwe confident usijiunderestimate kbs utafanikiw
Tafuta movie inaitwa LUCY. Hahaaaaa, ni tamu sana
 
Interestingly....

Ni kweli kuwa kuna mahusiano kati ya u genius na ukichaa na hii (watazamaji), wengine hudai kuwa wana mapepo au hupagawa.

Ni kweli kwamba ni wachache wa genius au vichaa wanaojijua.wengi wao wanajua wapo right na hii ni kutokana na kujua hatima ya jambo lao.

Ni kweli kwamba sisi binadamu tuna uwezo wa kuwa ma genius katika kupambana na mazingira.


Ni kweli kwamba binadamu akipatiwa muda, akatengwa, akapewa assignments ya kurahisha kitu fulani kwa mbinu mpya anaweza akafanya kama ambavyo wangefanya hao ma genius.


Kama tungetumia akili zetu kwa asilimia 100 tungefika mbali mno. Jamii, familia , serikali, na dini zimechangia kutumia akili zetu kwa 30% ndo maana na genius wanaonekana vichaaa.
 
Asilimia 100 ni janga kubwa. Ukiweza hivyo unaweza kupita kwenye ukuta kama mwanga.
 
Mi niliwahi kujaribu. Ni ngumu japo ina matokeo chanya, ila yakifumuka ni noma unaweza fanya vitu vya ajabu.
teh teh eti yakifumuka unaweza kufanya vitu vya ajabu.

Siku yakifumuka si unakimbilia buguruni pale buku mbili tu unajipoza halafu unarudi kuanzaupya tena??
Kuna watu wanaofanya meditations wanadai pia mtu anayeendekeza zinaa hata kwenye meditation hana concentration kubwa sana
 
Ni kweli mkuu tukiweza kutumia 100% ya akili tulizopewa na Mungu kwa ufanisi tunaweza hata kuruka hewani kama ndege aiseee, bila hata mabawa.
Kama kwa sasa tunatumia 7% tu ya uwezo wetu na dunia imefika hapa ilipo vipi tukifika 40% ??
 
Kuna Dr. Mmoja pale Udom ni kichwa sana na ametulia mpole wa statistic maths ila kuna muda milembe huwa inamuhusu kwa siku kadhaa halafu anarudi
teh teh mkuu, hio ni kawaida sana kwa watu wa ngazi ya PhD aiseee, wengi akili zao ni fyatu kiana, sema tu title zao zinawabeba
 
Kuna Dr. Mmoja pale Udom ni kichwa sana na ametulia mpole wa statistic maths ila kuna muda milembe huwa inamuhusu kwa siku kadhaa halafu anarudi
Hahahahahaaaa umenikumbusha mwalimu wangu wa research aisee jamaa yuko nondo ila ni mwehu sometimes...

Hadi leo hajaoa na hataki kuoa kbsa
 




Nimekusoma vyema mkuu wapigwa james
 
Lucy nimeona ila metaphor ya ile muvi inaonyesha nguvu ya lucifer
Inaonesha km binadamu ataweza kutumia 100% ya ubongo wake nini kinaweza kutokea (fictional). Hata hao wanaopaa na ungo au wanaoweza kupenya kwenye kuta au waliotembea juu ya maji au wanaoweza astral travel wanatumia ubongo tu, JUST ABOVE NORMAL PEOPLE CAN USE.
 
Kuna muvi pia inaitwa the pills jamaa alitumia pills za kuboost IQ ikawa shidA
 
Mshana Jr. na Mzizi mkavu wana somo la astral travel. Hiyo ni kutumia tu ubongo mtu anafanya lakini kwa "average people" ni jambo la ajabu. Ukifanya astral travel utawekwa kundi la jinias au kichaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…