Uhusiano wa u-genious na Ukichaa

Vichaa ni wengi kuliko Magenious
Hata humu pia nimeona vichàa wa wapo wa kutosha tu.


Mfano wewe ni kichaa kama ... unamwona Einstein kichaa kwa kuwa alikuwa hakai vijiwe vya kahawa anajifungia ndani anavumbua...vitu
 
Vichaa ni wengi kuliko Magenious
Hata humu pia nimeona vichàa wa wapo wa kutosha tu.


Mfano wewe ni kichaa kama ... unamwona Einstein kichaa kwa kuwa alikuwa hakai vijiwe vya kahawa anajifungia ndani anavumbua...vitu
Teheeee. Abnormalities ni karama pia.
Yesu alikuwa abnormal, Muhammad (SAW) alikuwa abnormal pia kama hutaki acha. Hawa walifanya mambo way above human "average" thinking.

Huwezi jua labda kati ya hao JF members ni vichaa, wengine majiniasi na wengine manabii na pengine mitume weusi.
 
Na Julius Nyerere vipi maana nae alikuwa genius
Kwa mawazo yangu Nyerere alikua mtu mwenye intelligence kubwa tu, hakufika level za u genius.

Lakini pia alikua amezungukwa na vichwa vilivyotukuka na akajua kuvitumia, kuna principle moja inaitwa master mind principle ndio alikua anaitumia.

Hii ameitumia pia Henry Ford bilionea mkubwa wa America enzi hizo, japo alikua kaishia kama darasa la sita hivi lakini alikuwa kazungukwa na vichwa hatari na yeye aliambukizwa huo "u-kichwa"
 
Nyerere alikuwa "Superior", IQ yake haikufikia kuwa genius ila alikuwa just above "average"
Mawazo yako nikama yangu mkuu.

Kwa mfano ukitafiti kitu kipya ambacho Nyerere alikileta kwenye utawala wake huwezi kukipata zaidi ya kuona tu akikopi na kupest kutoka kwa wengine, kilicho mbeba sana sana ni uzalendo wake na kuwa visionary na kujua namna ya kucheza na great minds
 
Umemsahau N.Tesla hakuoa wala kuzaa alipenda kustay alone zaidi
 
kwa nini mkuu??hebu nisaifie kidogo kuhusu ili tatizo lake!kuna mda adi anatia huruma ila wala hana neno.akikuta cjui pc imeharibika ni dk 5 kamaliza kazi.wanamuitaga makampuni anafanya kikazi chao wanampa chake kamaliza anaenda lewa zake.aloo oo
Sasa kwa watu Kama hawa ambao wamezaliwa katika ubora huu bila pombe hakai vizuri alafu wanakwambia oh pombe dhambi. Sasa kwanini Mungu aliwaumba katika hali Kama hii huku mazingira bado yanawakontroo?
 
mbona mimi ni msafi tu, na kichwa kimetulia..hopefully soon nitakuwa mgunduzi wa moja ya vitu vya nishati...stay tuned
 
AISEE IMENIGUSA MNA MIE NINA UNCLE WA HIVI ...ILA HOME WANAMFICHA ETI AIBU...VERY SAD.
 
Sasa kwa watu Kama hawa ambao wamezaliwa katika ubora huu bila pombe hakai vizuri alafu wanakwambia oh pombe dhambi. Sasa kwanini Mungu aliwaumba katika hali Kama hii huku mazingira bado yanawakontroo?
Hahahaha..hii ya pombe kunywa kisha unaperfom vzr ktk kazi hadi unashangaza watu ht mm ninalo hili tatizo
 
Yes yes hapa ndo patamu ndugu@asigwa ikubukubukwe hakuna binadamu yoyote aliyemzma kiakili yaani Kila mwanadamu ni mgonjwa akili hili halipingiki kama ukisoma vizuri MENTAL HEALTH (PSYCHIATRIC)
1.Ikumbukwe kuwa kila mwanadamu an personality yake
2.Hiyo hiyohiyo personality ikipungua inakuwa ungonjwa hivyo hayupo mwanadamu anayesimama normal
Nitataja aina za personality na maana zake ikumbukwe personality cyo ugonjwa...
Ila magonjwa ya akili yamegawanyika sehemu kuu mbili yaani (a)psychosis (b)Neurosis
Twende kwenye personality hapa Kila mwanajf ataguswa kama hujaguswa na personality yoyote basi wewe ni jiwe....
Types of personality
a)SCHIZOID/INTROVERT PERSONALITY
This are people who so quiet also their not easily drawn in social activities
-Also afraid to people
-Their like to be alone hapa tayar nmeshamgusa bwana Newton hakuna ujanja
-watu hawa pia there have few friends
-They sometimes there over independent to others
-Kitu kidogo ameshawaka(They get annoyed easily)
Psychological problem may develop this people,
This people may count in psychological problems kunakitu kinaitwa SUICIDAL wanaweza kudevelop
Watu hawahawa have cruel behavior (Wakatiri)
Also are good Raper maana hawezi kupiga voko vijana wakileo wanasema
-Watu hawahawa ni Voyalism yaani wapiga chabo wazuri
Tabia nilizozitaja hapo juu SI lazma mtu awenazo zote pengne mbili au kazaa kumbuka huu SI ugonjwa ni tabia ya mtu ambayo huzaa ugonjwa...
Tunaendelea personality nyingine ni..
(b)OBSSESSIONAL alimaarufu PERFECTIONIST unaweza pia waita OBSSESSIVE COMPURSIVE PERSONALITY
systemic concern doing the right mfano amelala usiku akijashituka usingizini anaenda kucheki kama amefunga hajiamini..
-Yaani a large number associate high ethical standards and normally high practical value in term of competent
and relayability
Watu hawa they are not have psychological problems that can cause to admit
But their behavior can disturb others mfano mlikuwa mnafanya assignment darasani au mpo kwenye kikao mnaandaa mutsari anakosea kuandika spelling moja anachana karatasi yote aanze upwa kuandika wakati mulikalibia kumalza.
(C)HYSTERICAL PERSONALITY nene hili limetoka ktk lugha ya kigiriki (hyteral-Uterus)
Iko hivi,Watu hawa normally are women who is deeply in sexuality and tense to be emotional flamboyant
-This kind from day to day complain they are failure to make lasting relationship anaweza kuzuga mgonjwa akapewa matibabu wengine huzuga kuzirai mpaka wengine hutamani wafanyiwe operation ili wapenz wao wawapende..
(d)ANTISOCIAL PERSONALITY
Are those people get repeated conflict in the society
-They no concern with others
-Normally they tend to ignore social value according to their desire the punishment they not teach them
-This kind of people they have few friend
-Can not resist temptation
-They blame other in wrong doing.
-Watu hawa utotoni huwa na tabia hizi
TRUANCY -utoro shulen
THIEFT
LYING
also poor performance in school
pia kidogo nisahau watu hawa huwa ENURESIS yaani vikojozi
(e)MESOCHIST PERSONALITY
This people are having SADISTIC behavior
anaweza akamkata mwenzake kiwembe damu zikamtoka harafu yy akafurahi kwel.
pia awasingizia wenzake wapate adhabu
au wazaririke
(f)PASSIVE AGGRESSIVE PERSONALITY /....DEPENDENT
This people is areas of loss or fear of loss(most of this people are lack mothering) wale watoto waliopelekwa kwa bibi anaishi na mtoto
-acceptable to depressive episode
(g)TIMIDITY PERSONALITY
Individual show abnormal assertiveness are aware filling of anger and hostility but has difficult in communication
-Also experience anxiety
-Guilty feeling
watu hawa huweza kudevelop Physchophrenia
(h)SENSITIVE PERSONALITY
These people are like mesochist but this one they tend to exgrate the offensive behavior (wazee wakuongeza chumvi ili kuibua mizozo wamo humu jf
(I)ANXIOUS PERSONALITY
This people who are closing bridges b4 reaching to the bridges.
Have a tendency of antspeting troubles (kwa wanafunzi mfno wale kusema huu mtihani utakuwa mgumu kabla hajauona)
(j)PARANOID PERSONALITY
This people are over sensitive
-They are suspicious (kuhisihisi watu Tu kwa mabaya) mfano umewekewa chakula mezani unahisi umewekewa kwenye chakula dawa ufe.
-Watu hawa they attendance of blaming others mfano Mimi cjafanikiwa sababu ya flani ..wapo wengi Sana mitaani na hata humu jf
(k)EXTROVERT /MANIC PERSONALITY
These are outgoing person hawa watu ni wawazi
-Yaani they explains themselves freely.
-They make social easily
-They so chiefly
Na hii ndo personality yangu siwezi kuficha ukweli.
Ila pia Kuna hawa INTROVERT personality hawa wasili wakikosewa hawasemi
(l)PSYCLOTHYMIC PERSONALITY
watu hawa wana swimming mood
-The emotional ranges from mild depression,elation sometimes flat mood (unamkuta mtu hajafurahi hajanuna yupo Kati)
-Watu hawa they develop manic depressives psychosis
Yapo mengi Sana juu ya magonjwa ya akili kwahyo mpaka hapo utagundua kuwa Kila binadamu ni kichaa japo tunazidiana kutokana na vitu tofautofauti inaweza kuwa mazingira,vyakula tulavyo n.k
karibu kwa michango
 
Shukrani sana mkuu, kuna vitu nimejifunza sana hapa
 
Nimesoma na jamaa mmoja hivi ametulia kichwani ILA ili mambo yaende sawa lazima ajiboost na petrol da! Ilikuwa taabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…