Wana nyege , kiufupi hao wanateseka na huo utajiri wao wa mchongoWatu mana wivu Sana, yaani Sisi maskini kununua kijira Tu inakuwa nongwa, mbobanyie matajiri mnaumia mamilion kula bata na kulala mahoteli ya gharama n hatuwafatilii
Unajua nyie matajiri kama sio Mungu mngetuteketeza kbis kwenye uso wa dunia.
Maskini akinywanhata boa Nne Tu za elfu 15 anaitwa hajielewi anaharibu maisha.
Nyie unatumia hata 1M kwa siku.
Mnapenda kutuona Sisi tukiteseka ndio furaha yenu ili mjisikie vizuri
Ukiwapa chupa ya k vant wanajimwaga chini kama kambaleWanakuwaga na shoti sana, hawa tunabonyeza sana huku mtaani, ukiwa na 20k unapiga mpaka asubuhi. Na hapo simu haziishi baada siku 3 anakupigia tena, hapo ujue ana shoti.
Na wako vizuri balaa wala huwezi kuamini, kuishi uswahilini Raha sana😃
Maisha yanakuwa magumu kwa vile unavyoyachukulia mwenyeweIla ukiwaangalia kwa namna tofauti ni watu ambao huwa wanafuraha.....hawana komplikesheni kabisa.
Mtu anakua zake na hela ya unga robo, miguu ya kuku na kachumbali, siku imeisha.
Kodi hawazi anakaa nyumba ya wazazi na mme anaemuoa (kama yupo) nae anahamia nyumba hiyo hiyo. Kama hana mme anazaa watoto wa baba mbali mbali akiwa hapo kwao.
Anacheza mchezo wa buku mbilimbili ili apate hela za kijora na mkorogo. Alhamisi, ijumaa, jmosi, jpili ni kuhave fun Ngoma kwa kwenda mbele.....
Yaani nawashangaa kila siku ni kusema maskini Tu, kwani amewaomba pesa zao? Kama wao wanakula nyama na pilau Sisi zetu ni Bamia na Ugali, kuchemka tunacheka wote, kulala sote tunasinzia na wakati wa kulia kila mtu anatoa machozi, hapo ndipo Mungu katuwezaWana nyege , kiufupi hao wanateseka na huo utajiri wao wa mchongo
😃 Wananiokoa sana hawa viumbeUkiwapa chupa ya k vant wanajimwaga chini kama kambale
Tofautisha Dera na kijoraSalma Kikwete huvaa kijora...
Kabisa mkuuMaisha yanakuwa magumu kwa vile unavyoyachukulia mwenyewe
Ukitaka mambo makubwa tegemeo stress za kutoshaKabisa mkuu
Unapewa pigo za chura au sio😃 Wananiokoa sana hawa viumbe
Wauza madawa, wasagaji na mashoga ni matajiriHalafu cha kushangaza hao matajiri wakija mjini ndo wanakua mabar maid na wanajiuza, ukiingia telegram wasap group na hata kwenye mabar majina ni haya tu QUEEN, HAPPY, LUCY, JANE , PRISCA , SALOME , NANCY,
Kijora huwa hakipunguzwi urefu kwasababu unavyokifua kinapungua urefu.Mi uwa najiuliza, kwanini kila mvaa kijora lazima akibane kwapani kisiburuzike, Si wavipunguze urefu?
Wengine hawataki chochote yani akikupenda atakununulia nyagi atakupikia hadi kukuogesha.Ukiwapa chupa ya k vant wanajimwaga chini kama kambale