Uhusiano wangu na mwanamke wangu kipenzi umeingia doa, muda wowote nitakipoteza nilichokipenda kwa moyo wote

huyo hata ukimsamehe bado atarudia tu mana ndo tabia yake

hata ukija kumuoa awe mke wako bado atachepukua tu

kakuonesha rangi yake halis mapema mno...shukuru Mungu, mwache aende
wanawake wapo wengi
 
Siku moja nimembana aniambie kwanini amefanya vile, maana yangu ilikua nijue chanzo
Jibu alilonipa Ni kuwa hayo yametokea na yamepita Kwanza nishukuru vipi kama ningemkuta nao.
Baada ya hapo akawa ananiambia siwezi kumuacha hata nifanyeje.
Na hii huwa ananiambia sana.
 
Aiseee

I need psychological counseling

Coz nikimsamehe atafanya Tena na hivi alivyoonesha kunichoka

Kumuacha ndo mtihani mwingine.
Nothing defeats time. Ni ngumu kuacha lakini baada ya miezi kadhaa utakua poa. Tena utashangaa makosa ambayo ungeingia. Just cut contact. Focus on you. You'll heal. I have beem there. Hadi sasa najiona fala kwa kumbembeleza mwanamke. Plenty of fish in the sea. Mapenzi yanalewesha hadi unaona hakuna mwingine. Lakini utampata mwingine. Yeye ndo atapata taabu. Stay calm. Contact me for more help.
 
Mapenzi ya kifala kweli ushafunguliwa dots zote bado huelewi mzee wa kazi kweli kupenda matatizo sana

Acha ufala kwanzia sasa piga chini na usimwambie wala nn yani mpotesee tu mazima kata mawasiliano cold turkey
 
Habari

Ni kijana 25-27 years

Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho.

Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi)
mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae.

Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa.

Kuna taarifa mbaya nilizipata juu yake kuwa wakati akiwa likizo kwenye mafunzo ya vitendo, aliingia mapenzini na mtu mwingine mpaka akapata ujauzito then akauchomoa.

Chuo kimefunguliwa nikamtembelea nikawa nimepewa taarifa na mtu wake wa karibu kuhusu kilichotokea.

Nilimuuliza ila Cha kushangaza hakuonesha kushtuka kwanza aliniuliza Kama napenda kuambiwa ukweli au kudanganywa Kisha akasema nilichokisikia Ni ukweli na kuwa Yale yalishapita hivyo vyovyote nitakavyomchukulia Ni sawa tu.

Niko njiapanda sielewi nimuache vipi coz nampenda Sana
Na anachokionyesha Ni kuwa Yuko tayali kwa maamuzi yangu yoyote.

Mara ananimbia tuachane kisa amefikiria siwezi kumsamehe kwa alichokifanya.
Nifanyeje?

Asanteni.
Achana naye fasta.
Hawezi kuwa indifferent halafu ukawa salama.
 
Ni ngumu sana kuelewa mwanamke anataka nini, lkn ni rahisi kujua moyo wako unataka nini.

Kiuhalisia huyo mdada mapenzi na wewe yalishakufa, sasa uchague kusonga mbele au usubirie tukio la pili.
 
Hivi jamani si kila siku tunaandika hapa kuwa wachuchu wapo wengi sana kuzidi hata idadi ya wanaume!!!

Hivi huwa hamsomi au ni ubishi tu?

Wewe kijana acha kulia lia, piga chini huo msukule urudi kuzimu, tafuta mchuchu mwingine uishi kwa amani...

Sasa duniani usumbuke, na ukifika kwa sir God utupwe kwenye ziwa la moto...alaaah!!!
 
Ni kosa sana kwa mwanaume kuwa na Mpenzi mmoja yani ungekuwa na wawili au zaidi wala usingejiuliza mara mbili ...ungepiga chini maisha yanasonga sasa ww inaonekana huna backup ni sawa na umeme umekatika na huna Generator so kichokuogopesha wewe ni giza baada ya umeme kukatika
 
Habari

Ni kijana 25-27 years

Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho.

Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi)
mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae.

Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa.

Kuna taarifa mbaya nilizipata juu yake kuwa wakati akiwa likizo kwenye mafunzo ya vitendo, aliingia mapenzini na mtu mwingine mpaka akapata ujauzito then akauchomoa.

Chuo kimefunguliwa nikamtembelea nikawa nimepewa taarifa na mtu wake wa karibu kuhusu kilichotokea.

Nilimuuliza ila Cha kushangaza hakuonesha kushtuka kwanza aliniuliza Kama napenda kuambiwa ukweli au kudanganywa Kisha akasema nilichokisikia Ni ukweli na kuwa Yale yalishapita hivyo vyovyote nitakavyomchukulia Ni sawa tu.

Niko njiapanda sielewi nimuache vipi coz nampenda Sana
Na anachokionyesha Ni kuwa Yuko tayali kwa maamuzi yangu yoyote.

Mara ananimbia tuachane kisa amefikiria siwezi kumsamehe kwa alichokifanya.
Nifanyeje?

Asanteni.
Nani alikwambia mwanamke huwa anampenda mwanamme?
 
USHAURI WANGU.
Vipi unampenda sana eeh?? Unaumia kwa alichokufanyia??
Kwanza pole sana mkuu.

Huyo manzi sio wako tena kwa sasa, kubali au kataa ila ndo hivyo huyo si wako tena kuna anaempa kibri, ukitaka kuendelea huku unampenda namna hiyo basi atakupiga matukio au utakua kitega uchumi chake mpaka ukimbie mwenyewe.

Cha kufanya sasa, kuna option 2.

Hii ya kwanza ni ya wewe kutuliza maumivu na iko hivi, we jishushe, jioneshe we ni zoba muoneshe kua kakosea, na unaamini ni bahati mbaya na umemsamehe kwa moyo wote kabisa. Mjali mjali ili ajae kwenye 18 zako. Mpeti peti tu chuo si mwakani tu apo anamaliza. Akimaliza mbatue, mbandue, chapa hiyo mbususu afu unamkaushia, ukitaka mbususu unamcheki unasuuza rungu then unamkaushia tena hadi mnaachana kishkaji. Si lazma amalize chuo hata miez kadhaa tu unaweza anza kula matunda ya mbinu hii.

Hii ya pili ni muache, mpotezee na sio kwa kumwambia we kausha tu usiwasiliane nae wala kumwambia kua tumeachana. Ila wewe akili yako weka kua mmeachana.
Hii itakusaidia pale utapomhitaji tena ni rahisi kumpata kwani hutaachana nae kwa zogo wala kumtamkia umemuacha.
 
Back
Top Bottom