Uhusiano wangu na mwanamke wangu kipenzi umeingia doa, muda wowote nitakipoteza nilichokipenda kwa moyo wote

Uhusiano wangu na mwanamke wangu kipenzi umeingia doa, muda wowote nitakipoteza nilichokipenda kwa moyo wote

Habari

Ni kijana 25-27 years

Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho.

Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi)
mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae.

Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa.

Kuna taarifa mbaya nilizipata juu yake kuwa wakati akiwa likizo kwenye mafunzo ya vitendo, aliingia mapenzini na mtu mwingine mpaka akapata ujauzito then akauchomoa.

Chuo kimefunguliwa nikamtembelea nikawa nimepewa taarifa na mtu wake wa karibu kuhusu kilichotokea.

Nilimuuliza ila Cha kushangaza hakuonesha kushtuka kwanza aliniuliza Kama napenda kuambiwa ukweli au kudanganywa Kisha akasema nilichokisikia Ni ukweli na kuwa Yale yalishapita hivyo vyovyote nitakavyomchukulia Ni sawa tu.

Niko njiapanda sielewi nimuache vipi coz nampenda Sana
Na anachokionyesha Ni kuwa Yuko tayali kwa maamuzi yangu yoyote.

Mara ananimbia tuachane kisa amefikiria siwezi kumsamehe kwa alichokifanya.
Nifanyeje?

Asanteni.
Piga chini haraka........
mauwa yapo mengi
 
Mtu anakuambia ni kweli nilicheat.

Ni kweli nilipata mimba.

Ni kweli nilitoa.

Na taarifa umeipata kwa mtu wa kando.

Usingeipata je?

Na anasema yupo tayari kwa lolote.

Na bado hauna nguvu ya kumove on.
Nimemzoea mno
Daah!
 
Mtu anakuambia ni kweli nilicheat.

Ni kweli nilipata mimba.

Ni kweli nilitoa.

Na taarifa umeipata kwa mtu wa kando.

Usingeipata je?

Na anasema yupo tayari kwa lolote.

Na bado hauna nguvu ya kumove on.
Huyu Nigga mnyonge sana hajui kutongoza wanawake wengine!!?
 
Mtu anakuambia ni kweli nilicheat.

Ni kweli nilipata mimba.

Ni kweli nilitoa.

Na taarifa umeipata kwa mtu wa kando.

Usingeipata je?

Na anasema yupo tayari kwa lolote.

Na bado hauna nguvu ya kumove on.
Ugonjwa wa kupenda ni mmbaya
 
Mbona majibu yako wazi? Ni ngumu sana ila jitahidi utaweza! Utaumia kwa muda ila wanawake wako wengi, mchukue hata Rafiki yake acha ujinga.....au huyo aliyekupa huo umbea pita nae huyo huyo


Siku chache tu atarudi kwako kwa machozi akiomba msamaha
Hiki ndio nimemshauri ili kupunguza impact bora awe na huyu rafiki yake apooze rejeta kidogo maana kupigwa na kitu kizito ukiwa huna uzoefu unaweza ukabugia sumu😅
 
Mapenzi ya kifala kweli ushafunguliwa dots zote bado huelewi mzee wa kazi kweli kupenda matatizo sana

Acha ufala kwanzia sasa piga chini na usimwambie wala nn yani mpotesee tu mazima kata mawasiliano cold turkey
Ku move on ni kama kuacha kazi ya mshahara wa 10M kwa mwezi😅 kisha uende kuwa jobless au mlinzi wa geti kama mmasai!

Ni ngumu sana jamani tumuonee huruma kijana wetu bado mchanga kwenye game. Akifuzu hapo atatunukiwa shahada ya heshima yani honors. Bachelor in Relationship Management
 
Ku move on ni kama kuacha kazi ya mshahara wa 10M kwa mwezi[emoji28] kisha uende kuwa jobless au mlinzi wa geti kama mmasai!

Ni ngumu sana jamani tumuonee huruma kijana wetu bado mchanga kwenye game. Akifuzu hapo atatunukiwa shahada ya heshima yani honors. Bachelor in Relationship Management
Aisee
 
Ni kosa sana kwa mwanaume kuwa na Mpenzi mmoja yani ungekuwa na wawili au ziadi wala usingejiuliza mara mbili ungepiga chini maisha yanasonga sasa ww inaonekana huna backup ni sawa umeme umekatika na huna Generator kichokuogopesha ni giza baada ya umeme kukatika
Hahahahahhahahahahahahahahhahahahahahahhahahahahhaah we ni boya😅
 
Mbona majibu yako wazi? Ni ngumu sana ila jitahidi utaweza! Utaumia kwa muda ila wanawake wako wengi, mchukue hata Rafiki yake acha ujinga.....au huyo aliyekupa huo umbea pita nae huyo huyo


Siku chache tu atarudi kwako kwa machozi akiomba msamaha
Hana haja yakuwaumiza watu wasio na hatia ili kupona maradh yake ya moyo nikukubali ukwel kuwa ameachwa na afute Namba za huyo mwanamke kila sehem.
Asikate tamaa wapo bado wanawake wema wanaish na asiwachukie wanawake wote
 
Back
Top Bottom