Uhusiano wangu na mwanamke wangu kipenzi umeingia doa, muda wowote nitakipoteza nilichokipenda kwa moyo wote

Nasikitika kuona idadi ya wanaume inazidi kupungua kila kukicha, sasa unataka kupewa ushaur gan wewe mvulana na jibu unalo mwenyewe
 
USHAURI WANGU.
Vipi unampenda sana eeh?? Unaumia kwa alichokufanyia??
Kwanza pole sana mkuu.

Huyo manzi sio wako tena kwa sasa, kubali au kataa ila ndo hivyo huyo si wako tena kuna anaempa kibri, ukitaka kuendelea huku unampenda namna hiyo basi atakupiga matukio au utakua kitega uchumi chake mpaka ukimbie mwenyewe.

Cha kufanya sasa, kuna option 2.

Hii ya kwanza ni ya wewe kutuliza maumivu na iko hivi, we jishushe, jioneshe we ni zoba muoneshe kua kakosea, na unaamini ni bahati mbaya na umemsamehe kwa moyo wote kabisa. Mjali mjali ili ajae kwenye 18 zako. Mpeti peti tu chuo si mwakani tu apo anamaliza. Akimaliza mbatue, mbandue, chapa hiyo mbususu afu unamkaushia, ukitaka mbususu unamcheki unasuuza rungu then unamkaushia tena hadi mnaachana kishkaji. Si lazma amalize chuo hata miez kadhaa tu unaweza anza kula matunda ya mbinu hii.

Hii ya pili ni muache, mpotezee na sio kwa kumwambia we kausha tu usiwasiliane nae wala kumwambia kua tumeachana. Ila wewe akili yako weka kua mmeachana.
Hii itakusaidia pale utapomhitaji tena ni rahisi kumpata kwani hutaachana nae kwa zogo wala kumtamkia umemuacha.
Yaani focus yako ni kuhakikisha hakosi mzigo kwa huyo manzi....mtu mbad
 
Habari

Ni kijana 25-27 years

Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho.

Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi)
mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae.

Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa.

Kuna taarifa mbaya nilizipata juu yake kuwa wakati akiwa likizo kwenye mafunzo ya vitendo, aliingia mapenzini na mtu mwingine mpaka akapata ujauzito then akauchomoa.

Chuo kimefunguliwa nikamtembelea nikawa nimepewa taarifa na mtu wake wa karibu kuhusu kilichotokea.

Nilimuuliza ila Cha kushangaza hakuonesha kushtuka kwanza aliniuliza Kama napenda kuambiwa ukweli au kudanganywa Kisha akasema nilichokisikia Ni ukweli na kuwa Yale yalishapita hivyo vyovyote nitakavyomchukulia Ni sawa tu.

Niko njiapanda sielewi nimuache vipi coz nampenda Sana
Na anachokionyesha Ni kuwa Yuko tayali kwa maamuzi yangu yoyote.

Mara ananimbia tuachane kisa amefikiria siwezi kumsamehe kwa alichokifanya.
Nifanyeje?

Asanteni.
Timua mbio, usipifanya hivyo utarudi kutoa ushuhuda kwenye ule uzi wa waliokose akuoa
 
Wanaume tunazidi kuisha umeambiwa sasa hapa unataka nn
Tatizo ni kuondosa viboko mashuleni. Huyu anatakiwa kukungutwa mboko za maana ili akili imkae kisawasawa. Ameshakwambia katoa mimba na haikuwa yako halafu unasema inaendelea kumpenda na unaomba ushauri. Huyu si mzima kabisa. Vijana mmekuwaje?
 
Siku moja nimembana aniambie kwanini amefanya vile, maana yangu ilikua nijue chanzo
Jibu alilonipa Ni kuwa hayo yametokea na yamepita Kwanza nishukuru vipi kama ningemkuta nao.
Baada ya hapo akawa ananiambia siwezi kumuacha hata nifanyeje.
Na hii huwa ananiambia sana.
Aisee... Yakupasa kuinusuru roho yako.
 
Habari

Ni kijana 25-27 years

Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho.

Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi)
mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae.

Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa.

Kuna taarifa mbaya nilizipata juu yake kuwa wakati akiwa likizo kwenye mafunzo ya vitendo, aliingia mapenzini na mtu mwingine mpaka akapata ujauzito then akauchomoa.

Chuo kimefunguliwa nikamtembelea nikawa nimepewa taarifa na mtu wake wa karibu kuhusu kilichotokea.

Nilimuuliza ila Cha kushangaza hakuonesha kushtuka kwanza aliniuliza Kama napenda kuambiwa ukweli au kudanganywa Kisha akasema nilichokisikia Ni ukweli na kuwa Yale yalishapita hivyo vyovyote nitakavyomchukulia Ni sawa tu.

Niko njiapanda sielewi nimuache vipi coz nampenda Sana
Na anachokionyesha Ni kuwa Yuko tayali kwa maamuzi yangu yoyote.

Mara ananimbia tuachane kisa amefikiria siwezi kumsamehe kwa alichokifanya.
Nifanyeje?

Asanteni.
Khaaaaa hujui cha kufanya kuna wimbo barnaba anaimba anasema ukiachwa achika huyo siyo wako tena ukiendelea nae atakutesa sana achana nae
 
https://jamii.app/JFUserGuide you motherfucker. You're such a dumb asshole mf
 
Hivi jamani si kila siku tunaandika hapa kuwa wachuchu wapo wengi sana kuzidi hata idadi ya wanaume!!!

Hivi huwa hamsomi au ni ubishi tu?

Wewe kijana acha kulia lia, piga chini huo msukule urudi kuzimu, tafuta mchuchu mwingine uishi kwa amani...

Sasa duniani usumbuke, na ukifika kwa sir God utupwe kwenye ziwa la moto...alaaah!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari

Ni kijana 25-27 years

Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho.

Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi)
mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae.

Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa.

Kuna taarifa mbaya nilizipata juu yake kuwa wakati akiwa likizo kwenye mafunzo ya vitendo, aliingia mapenzini na mtu mwingine mpaka akapata ujauzito then akauchomoa.

Chuo kimefunguliwa nikamtembelea nikawa nimepewa taarifa na mtu wake wa karibu kuhusu kilichotokea.

Nilimuuliza ila Cha kushangaza hakuonesha kushtuka kwanza aliniuliza Kama napenda kuambiwa ukweli au kudanganywa Kisha akasema nilichokisikia Ni ukweli na kuwa Yale yalishapita hivyo vyovyote nitakavyomchukulia Ni sawa tu.

Niko njiapanda sielewi nimuache vipi coz nampenda Sana
Na anachokionyesha Ni kuwa Yuko tayali kwa maamuzi yangu yoyote.

Mara ananimbia tuachane kisa amefikiria siwezi kumsamehe kwa alichokifanya.
Nifanyeje?

Asanteni.
Nchi kama china ushauawa kwa kupigwa risasi[emoji379]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe huna akili
 
Back
Top Bottom