Uhusiano wetu na nchi jirani, nini kimetokea kati yetu na Rais Kagame?

Kagame ndiye alikuwa rafiki wa karibu, baada ya kuapishwa Rais Magufuli nchi yake ya kwanza kuitembelea ilikuwa Rwanda na alifanyiwa dhifa ya kitaifa. Baada ya hapo Rais Kagame alikuwa mgeni wetu wa mara kwa mara.

Rais Magufuli aliwahi kutamka mbele ya Kagame kuwa yeye ndiye aliyemshauri manunuzi ya ndege.

Huyu mgeni wetu wa mara kwa mara ameshindwa kuja kulia na sisi msiba wa Mzee Mkapa. Ingawa alituma salamu lakini kwetu sisi Kagame alikuwa the next door neighbour hakuwa mtu wa kutuma salamu bila hata mwakilishi.
Wanajeshi wake waliojaa huku wanatosha kumwakilisha.Hata wale waliofanya ile shughuli si uliwaona wanafanana na raisi wao.Au hukuwaona unatafuta uchokozi tu
 
Kagame ndiye alikuwa rafiki wa karibu, baada ya kuapishwa Rais Magufuli nchi yake ya kwanza kuitembelea ilikuwa Rwanda na alifanyiwa dhifa ya kitaifa. Baada ya hapo Rais Kagame alikuwa mgeni wetu wa mara kwa mara.

Rais Magufuli aliwahi kutamka mbele ya Kagame kuwa yeye ndiye aliyemshauri manunuzi ya ndege.

Huyu mgeni wetu wa mara kwa mara ameshindwa kuja kulia na sisi msiba wa Mzee Mkapa. Ingawa alituma salamu lakini kwetu sisi Kagame alikuwa the next door neighbour hakuwa mtu wa kutuma salamu bila hata mwakilishi.
Nenda kanywe naye chai hayatuhusu.
 
Huwenda Covid-19 inawaogopesha baadhi ya viongozi kusafiri.
 
Kagame anataka mtu wa kumfanya mjinga pia hapendi mtu awe mashuhuri kuliko yeye. Kwa hivyo hawezi kuendeleza uhusiano sana na magufuli. Hoja zake ni kunufaika nchi yake. Angependa mikataba ya siri kama wanyarwanda watutsi kufuga mifugo tanzania bila bughudha au magendo ya madini na uwindaji haramu kuingia rwanda bila shida. Congo rd ndio wanyonge wa kagame sio tz 😂😂
KP kajaza watu wake wengi kwenywe system ya nchi Yenu anawajua in and out,watz mmekuwa makolo sana
 
Back
Top Bottom