Uhusiano wetu na nchi jirani, nini kimetokea kati yetu na Rais Kagame?

Kagame ndiye alikuwa rafiki wa karibu, baada ya kuapishwa Rais Magufuli nchi yake ya kwanza kuitembelea ilikuwa Rwanda na alifanyiwa dhifa ya kitaifa. Baada ya hapo Rais Kagame alikuwa mgeni wetu wa mara kwa mara.

Rais Magufuli aliwahi kutamka mbele ya Kagame kuwa yeye ndiye aliyemshauri manunuzi ya ndege.

Huyu mgeni wetu wa mara kwa mara ameshindwa kuja kulia na sisi msiba wa Mzee Mkapa. Ingawa alituma salamu lakini kwetu sisi Kagame alikuwa the next door neighbour hakuwa mtu wa kutuma salamu bila hata mwakilishi.
Kagame hapendi Ujinga!
 
Kagame hapendi Ujinga!
Kagame ndio Mjinga sasa kwa taarifa yako, Tanzania haijawahi kupapaswa makari-o na Kunyenyekea tuNchi kama Wilaya wa Uyui. Urafiki wetu nayeye ulikuwa wa kimkakati baaada ya biffu la Miaka 10 na Kikwete tuliona isiwe shida japo urafiki wa miezi 6 siyo mbaya.
 
Sasa kwani aliwaita? Si wajinga mlijipeleka wenyewe? Akawapa na Ulinzi
 
Unajua lengo la kujipeleka Mkuu. Anyway its ovva, Usije ukakimbia Nchi kwenda Ukimbizini kwamba nimekutishia Maisha maaaana AVATAR yako ina mengi! Sorry Mkuuu yaishe.
 
Kagame ndio Mjinga sasa kwa taarifa yako, Tanzania haijawahi kupapaswa makari-o na Kunyenyekea tuNchi kama Wilaya wa Uyui. Urafiki wetu nayeye ulikuwa wa kimkakati baaada ya biffu la Miaka 10 na Kikwete tuliona isiwe shida japo urafiki wa miezi 6 siyo mbaya.
Hakuna cha kimkakati wala nini,
Uncle wenu alibugi,huwezi kwenda against na your country man achilia mbali mtangulizi wako,KARMA at its best,
tuliziona zile mbwembwe za mwanzo,mpaka yule pinochio aliingia ikulu,kama mtangulizi alikuwa adui kihivyo wa nchi yake,
Sasa kafika wakati anaona mtangulizi wake kumbe alikuwa sahihi,too late..
 
Unaweza ukawa na point mkuu kwenye hili.
 
Kagame ndiye alikuwa rafiki wa karibu, baada ya kuapishwa Rais Magufuli nchi yake ya kwanza kuitembelea ilikuwa Rwanda na alifanyiwa dhifa ya kitaifa. Baada ya hapo Rais Kagame alikuwa mgeni wetu wa mara kwa mara.

Rais Magufuli aliwahi kutamka mbele ya Kagame kuwa yeye ndiye aliyemshauri manunuzi ya ndege.

Huyu mgeni wetu wa mara kwa mara ameshindwa kuja kulia na sisi msiba wa Mzee Mkapa. Ingawa alituma salamu lakini kwetu sisi Kagame alikuwa the next door neighbour hakuwa mtu wa kutuma salamu bila hata mwakilishi.
Kwani nani aliyezawadiwa ng'ombe. Kwani wale tausi hawakufika hadi rwanda; na ule uwanja wa kimataifa jirani, uzinduzi wake si bado. Nani ajuae, pengine utapewa jina mashururi "Kagame International Airport!

Usione kimya, mambo ni vuguvugu kati yetu. Madikteta wenye hulka inayoshibana wataanzia wapi kufarakana!
 
Huyu mgeni wetu wa mara kwa mara ameshindwa kuja kulia na sisi msiba wa Mzee Mkapa. Ingawa alituma salamu lakini kwetu sisi Kagame alikuwa the next door neighbour hakuwa mtu wa kutuma salamu bila hata mwakilishi
Mwiba wa hima empire
 
Kwani huyu mhutu/mtutsi wetu si hao hao Bahima Empire au undhani ni Msukuma?
Sasa mtu mmoja atakuwaje Mhutu, kisha Mtutsi na kisha Hima empire kwa wakati mmoja?????????????????????????????????. Nifafanulie unacholenga kusema, anaweza asiwe msukuma but he cant be both............
 
Kagame ndiye alikuwa rafiki wa karibu, baada ya kuapishwa Rais Magufuli nchi yake ya kwanza kuitembelea ilikuwa Rwanda na alifanyiwa dhifa ya kitaifa. Baada ya hapo Rais Kagame alikuwa mgeni wetu wa mara kwa mara.

Rais Magufuli aliwahi kutamka mbele ya Kagame kuwa yeye ndiye aliyemshauri manunuzi ya ndege.

Huyu mgeni wetu wa mara kwa mara ameshindwa kuja kulia na sisi msiba wa Mzee Mkapa. Ingawa alituma salamu lakini kwetu sisi Kagame alikuwa the next door neighbour hakuwa mtu wa kutuma salamu bila hata mwakilishi.
Kagame kamtapeli magu ndege mbili
 
Mojawapo. Ukiwa na 'Kiherehere' lazima 'utaondoka' tu. Haiwezekani 'Mchafuzi' Mmoja ukaachwa kwa Maslahi ya Wazalendo wengi. Utaondoka tu!
Siku yakikukuta utajuta.Cowards die many times before they die.Walijaribu kumuua,waliweza sasa?Fo olish.
 
Kagame ndiye alikuwa rafiki wa karibu, baada ya kuapishwa Rais Magufuli nchi yake ya kwanza kuitembelea ilikuwa Rwanda na alifanyiwa dhifa ya kitaifa. Baada ya hapo Rais Kagame alikuwa mgeni wetu wa mara kwa mara.

Rais Magufuli aliwahi kutamka mbele ya Kagame kuwa yeye ndiye aliyemshauri manunuzi ya ndege.

Huyu mgeni wetu wa mara kwa mara ameshindwa kuja kulia na sisi msiba wa Mzee Mkapa. Ingawa alituma salamu lakini kwetu sisi Kagame alikuwa the next door neighbour hakuwa mtu wa kutuma salamu bila hata mwakilishi.
Kagame anataka mtu wa kumfanya mjinga pia hapendi mtu awe mashuhuri kuliko yeye. Kwa hivyo hawezi kuendeleza uhusiano sana na magufuli. Hoja zake ni kunufaika nchi yake. Angependa mikataba ya siri kama wanyarwanda watutsi kufuga mifugo tanzania bila bughudha au magendo ya madini na uwindaji haramu kuingia rwanda bila shida. Congo rd ndio wanyonge wa kagame sio tz 😂😂
 
Mgonjwa alimtibia mganga. Bhas na show ikaishia hapo. Yani mwalimui alikuwa anajua anamfunza mwanafunzi wake magazijuto akashangaa mwanafunzi wake anampigisha kalikulasi.
siongezi neno.umemaliza mkuu.uzii uhitimishwe.
 
Back
Top Bottom