Uhusiano wetu na nchi jirani, nini kimetokea kati yetu na Rais Kagame?

Uhusiano wetu na nchi jirani, nini kimetokea kati yetu na Rais Kagame?

Mambo mengine ya hovyo sana, hili linasaidiaje kipato chako?

Kuna msuguano wowote kati ya hizi nchi mbili?

Shuleni1 ulienda kusomea ukuda?
 
Kagame is a smart guy,hawezi kufanya urafiki na mbumbumbu.Baada ya kugundua kumbe Tanzania hamna lolote ni kichwa tu cha mwendawazimu ameamua kuingia zake mitini.
Kagame mshamba, kwanza Magufuli ana phd ya UDSM wakati kagame ana cheti tu.
 
Mambo mengine ya hovyo sana ,hili linasaidiaje kipato chako?
Kuna msuguano wowote kati ya hizi nchi mbili?
Shuleni1 ulienda kusomea ukuda?
Innam Pango wa kufanys biashara Rwanda, ni lazima nijue uhusiano wetu wa kidiplomasia ukoje.
 
Udhibiti wa biashara ya madini ni moja ya vitu vinavyo wafanya baadhi ya majirani zetu wawe shingo upande.

Mpango kazi wa corona.

Upendo tunaouonesha kwa Burundi watoto wengine wanamuonea mwenzao wivu.

Lakini hata wewe jaribu kufikiria, uwe Rais wa nchi si yule Rais wa twanga pepeta. Khalafu wananchi unawaongoza wanatamani angalau Rais mwenzako aje awe ndio kiongozi wao. Kibinadamu lazima upate mahangaiko. Mwenzako anaonekana anatosha zaidi yako.
 
Uhusiano na jirani yetu umepungua sana ,hukumsikia magu siku ile chamwino alisema " kuna nchi ya jirani iliomba kujenga ikulu akakataa

California love
 
Kagame ndiye alikuwa rafiki wa karibu, baada ya kuapishwa Rais Magufuli nchi yake ya kwanza kuitembelea ilikuwa Rwanda na alifanyiwa dhifa ya kitaifa. Baada ya hapo Rais Kagame alikuwa mgeni wetu wa mara kwa mara.

Rais Magufuli aliwahi kutamka mbele ya Kagame kuwa yeye ndiye aliyemshauri manunuzi ya ndege.

Huyu mgeni wetu wa mara kwa mara ameshindwa kuja kulia na sisi msiba wa Mzee Mkapa. Ingawa alituma salamu lakini kwetu sisi Kagame alikuwa the next door neighbour hakuwa mtu wa kutuma salamu bila hata mwakilishi.
Laizer kaharibu dili
 
Sasa umeandika nini

Back
Top Bottom