Uhusika wa waliohukumiwa kunyongwa kesi ya Lotter

Huyo anayepiga kelele mtandaoni ndio mheshimiwa mbunge?

Vv
 
Aliyetoa pesa/ deal kwa suspect wa kwanza kwa nini hakamatwi? Huyu anajulikana kirahisi sana, habari zake anazo mtuhumiwa wa kwanza. Vinginevyo tuamini kuwa analindwa na vigogo wa hapa nchini.

Vv
 
Aliyetoa pesa/ deal kwa suspect wa kwanza kwa nini hakamatwi? Huyu anajulikana kirahisi sana, habari zake anazo mtuhumiwa wa kwanza. Vinginevyo tuamini kuwa analindwa na vigogo wa hapa nchini.

Vv
tunaambiwa ni mchina , huyo mchina ni fake, kuondolewa kwa Fahma almas karama ilikuwa kumlinda kigogo, mleta thread na mashaka nae ana interest na hii case na hukumu yake machips ndio anamtaja namba moja.
 
Hivi mishentown huwa imebase kazi gani haswa??
 
Sasa watu wako death row si wataje wahusika halisi
Ama chain ni ndefu sana?
 
You can imagine watu wamebinywa pu/mbu kiasi gani hadi kutoa taarifa zote hizi
 
Hapo hakuna cha Mchina wala nini, kuna kigogo tu nchini anahusika
 
Ahaaa, kama ni hivyo, basi mtafuteni Abdulrahman Kinana awape muongozo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…