Uimara na udhaifu wa Mama Samia

Najua hali yako ni mbaya baada ya kuondokewa na yule bwana, subiri nchi irudishwe kwenye mstari nyoofu.
Kila mtu anampenda Mama Samia. Lakini tunasema awe makini. Halafu akigeuza kila kitu anatuambia nini? Yeye alikuwa sehemu ya serikali na alimshauri Mkuu. Je alikuwa "Yes" leader? Akumbuke awamu hii ilipewa kura kwa ahadi za mtangulizi wake na yeye akizipigia chapuo. iweje leo awe tofauti sana leo!
 
Ubeberu maana yake wizi! Kuiba ni kuiba hata kama ni kwa kutumia jina la 'uwekezaji' na kuwa 'modern' haina maana kukubali kuibiwa mchana kweupe. uhu sio 'usasa' bali 'ulofa'
Magufuli amewaharibu sana! Hata mueleweshwe vipi, hamuelewi! Dunia ya utandawazi ni dunia ya kupambana! Siyo kulia lia na kulalamika!
 
Kwahiyo unataka Rais Samia atume tena ndege ya serkali kufuata mitishamba Madgasca? Shame of the highest class.
 
Kwa akili na mitazamo kama hii ni laana kuwa mwafrica. Umekua brainwashed totally yan ww hakuna unalojua na hutakuja ujue. Lkn sio mbaya kuwa na watu kama ww ili jamii ikamilike na tuonekane waafrica hatuna akili
 
Magufuli amewaharibu sana! Hata mueleweshwe vipi, hamuelewi! Dunia ya utandawazi ni dunia ya kupambana! Siyo kulia lia na kulalamika!
Utapambana vip wakt unafuata njia yao... Mapambano n njia sahihi upitayo na huko huwekwa miiba na kona za hatari ili usifike. Sasa mama anatak tuwe mikia yao kufuata kila wasemalo au watakalo. Kwanza mama anaharak sana ya uwekezaji ya nini...?? Hotuba yake ya kutaka madin ya kwenye hifadhi na uwekezaji kwenye nickel pia namna anavyolahisisha sana maongez ya barick na kwamba hatutakiw kutunishiana misuli ni dalili kubwa kwamba mapambano tumeshindwa na mama amefeli miserably hilo lipo wazi... Simuelew mm anafanya haya kwa faida ipi hasa
 
Ni zamu yenu sasa kuhama nchi kama hamridhishwi na utendajivwa Raus wa sasa! Ila ukweli utabakia pale pale! Mabeberu siyo watu wa kushindana nao.

Ukiwa kiongozi wa nchi maskini kama Tanzania, unatakiwa kuishi nao kwa umakini na siyo kwa kuwatishia nyau! Dakika 0 tu wanakupoteza.
 
Kwa akili na mitazamo kama hii ni laana kuwa mwafrica. Umekua brainwashed totally yan ww hakuna unalojua na hutakuja ujue. Lkn sio mbaya kuwa na watu kama ww ili jamii ikamilike na tuonekane waafrica hatuna akili
Tatizo Mataga wengi hamna uelewa wa mambo kama alivyokuwa yule mtukufu wenu! Karne tuliyopo ni ya 21! Ni karne ya utandawazi! Whether you like, or not!

Endelea kukaza shingo. Ukishindwa kuvumilia, na wewe kufa tu ili umfuate mungu wako. Sawa?
 
Freedom of expression should be respected let them declare their Ideology on what going on.
 
Kwa akili kama zako nna hakika kbsa tunaishi mpka kiama africa haijapiga hatua.
 
Aachwe Mama afanye kazi.
Mlikaa kimya wakati wa mtu alofanya yasioridhisha,Sasa Mama hajamaliza hata mwezi but ameingia sio tu kwenye mioyo ya watanzania Bali mpaka ndani ya mishipa ya damu zetu.
Tumuache tafadhali afanye kazi.Hakika ana Mambo mengi ya hovyo aloyakuta inapasa ayarekebishe,nchi ilikuwa inaenda ahera.
VIVA Samia Hassan Suluhu.
May God Protect you
 
Mi naona mama akiyafanyia kazi yote aliyoongea, atakua better 10x marais wote waliopita.

Marehemu namkubali kwa sehemu yake Kama vile kubomoa mikataba ya madin ya kipumbafu, kutuletea umeme na barabar wilayani kwangu.!
 
Anajitahidi kuridhisha kila kundi wakati mfumo hausupport hili kuwezekana. Awe makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…