- Thread starter
- #21
Kila mtu anampenda Mama Samia. Lakini tunasema awe makini. Halafu akigeuza kila kitu anatuambia nini? Yeye alikuwa sehemu ya serikali na alimshauri Mkuu. Je alikuwa "Yes" leader? Akumbuke awamu hii ilipewa kura kwa ahadi za mtangulizi wake na yeye akizipigia chapuo. iweje leo awe tofauti sana leo!Najua hali yako ni mbaya baada ya kuondokewa na yule bwana, subiri nchi irudishwe kwenye mstari nyoofu.