Uingereza haina utawala wa kifalme, kinachoendelea pale ni kiini macho

Ila watu mliocomment humu kuwa tujadili mambo ya tozo badala ya mambo ya Uingereza mmenishangaza. Hili ni jukwaa la Kimataifa. Hayo matozo kayalilieni huko jukwaa la siasa na mchanganyiko.
 
Haya basi mpindue mzee, kusiwe na mfalme
 
SASA mbona waziri mkuu akiapishwa tu lazima akaripoti kwake ndio aanze majukumu yake. Na Hawa Jamaa wanaojiita ANGILCANA yeye ndio anawapangia Kila kitu mpaka jinsi watakavyo ingia mbinguni.?
 
SASA mbona waziri mkuu akiapishwa tu lazima akaripoti kwake ndio aanze majukumu yake. Na Hawa Jamaa wanaojiita ANGILCANA yeye ndio anawapangia Kila kitu mpaka jinsi watakavyo ingia mbinguni.?
Hiyo ni protokali tu maana hata watu gani wanaostahili kuwa waziri mkuu haamui mfalme bali ni vyama. Hata kuondoka waziri mkuu ni suala la bunge.

Ni kiongozi wa church of england lakini sio authority ya kiroho. Wanafuata mafundisho ya biblia takatifu.
 
Kwa hiyo taarifa tunazoziona BBC, CNN ni za uongo???
Kuwa Wananchi wanataka fedha zao za kodi zisipelekwe westminster, au sijui Essex hall.

Duh
Tusilolijua, kha!
Mkuu lazima ufahamu Uengereza ni nchi ya kifalme na Mfalme ndie kiongozi wa nchi japokua ni ceremonious figure na hana madaraka makubwa lakini bado ni kiongozi wa nchi yaani head of state. Kwa mantiki hio kama anahudhuria hafla za kitaifa lazima Serikali igharamie lakini matumizi yao binafsi au harusi za kifalme wanagharamiwa na hio Crown Estate na sio kodi za wananchi
 
Wow
"King Subjects"
Kwahiyo hata Raisi wetu nae, matumizi yake binafsi anajigaramia???
 
SASA mbona waziri mkuu akiapishwa tu lazima akaripoti kwake ndio aanze majukumu yake. Na Hawa Jamaa wanaojiita ANGILCANA yeye ndio anawapangia Kila kitu mpaka jinsi watakavyo ingia mbinguni.?
Hata maamuzi ya bunge lazima yapate Kibali cha Ufalme. "Assent"
 
Hizo kanuni za Kifalme zimetungwa na nani? Au Mwigulu mtunzi wa TOZO ndio kakunong,oneza?
 
Hizi kanuni ni de facto duniani kote.
Kama ni de facto duniani kote ngoja nikuilize; Unajua kuwa Spain, Sweden, Monaco, Belgium na Japan kutaja kwa uchache ni nchi zenye ufalme? Je, zinafuata hizo kanuni zako za kipuuzi ulizoandika? Kama ni e-Swatini Morocco nchi za Afrika sawa. Zinafuata unachosema.
 
Familia chache hizo kwenye hayo mataifa zimefanya janja janja ya brain washing ili waendelee kula keki bila kufanya kazi yoyote baada ya kushindwa kuwa na nguvu ya kutawala kama wafalme.
 
Unaangalia sana movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…