Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,628
- 2,720
Ila watu mliocomment humu kuwa tujadili mambo ya tozo badala ya mambo ya Uingereza mmenishangaza. Hili ni jukwaa la Kimataifa. Hayo matozo kayalilieni huko jukwaa la siasa na mchanganyiko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwa wenyewe wameridhika wewe vinakuuma nini?Ufalme Zama Hizi NI ujinga mtupu!
Haya basi mpindue mzee, kusiwe na mfalmeSifa za mtu anayetambulika kama mfalme:
1. Awe anamiliki ardhi yote anayotawala.
2. Awe na amri juu ya watu wote wa eneo lake kila wakati
3. Awe anamiliki mali zote katika eneo lake na kwamba kila raia awe anafanya kazi kwa ajili ya mfalme
4. Tamko la mfalme linakuwa sheria ambayo inatekelezwa mara moja
5. Mfalme ndio mwongozo wa tabia, mwenendo na tamaduni ya kila raia kwenye eneo lake
6. Mfalme anayo haki ya kumpatia au kumnyang'anya yeyote kitu chochote bila kuulizwa
7. Hukumu ya mfalme ni mwanzo na mwisho wa mabishano.
8. Mfalme anawajibika kiulinzi na kuhakikisha watu wake wanapata mahitaji yao ya kila siku.
Haya yote hayapo pale Uingereza. Kinachoendelea pale ni raia masikini wanakubali kuitunza familia isiyokuwa na mamlaka ya kiutawala juu yao.
Yaliyotokea kwenye ufalme wa ufaransa yatatokea siku siyo nyingi.Haya basi mpindue mzee, kusiwe na mfalme
TUKTA wapo kwenye mazungumzo ulitaka wafanyakazi wafuatilie nn?Sasa wewe unaumia nini? Mnashindwa kufatilia ishu za msingi unawaza mambo ya wengine.
SASA mbona waziri mkuu akiapishwa tu lazima akaripoti kwake ndio aanze majukumu yake. Na Hawa Jamaa wanaojiita ANGILCANA yeye ndio anawapangia Kila kitu mpaka jinsi watakavyo ingia mbinguni.?Sifa za mtu anayetambulika kama mfalme:
1. Awe anamiliki ardhi yote anayotawala.
2. Awe na amri juu ya watu wote wa eneo lake kila wakati
3. Awe anamiliki mali zote katika eneo lake na kwamba kila raia awe anafanya kazi kwa ajili ya mfalme
4. Tamko la mfalme linakuwa sheria ambayo inatekelezwa mara moja
5. Mfalme ndio mwongozo wa tabia, mwenendo na tamaduni ya kila raia kwenye eneo lake
6. Mfalme anayo haki ya kumpatia au kumnyang'anya yeyote kitu chochote bila kuulizwa
7. Hukumu ya mfalme ni mwanzo na mwisho wa mabishano.
8. Mfalme anawajibika kiulinzi na kuhakikisha watu wake wanapata mahitaji yao ya kila siku.
Haya yote hayapo pale Uingereza. Kinachoendelea pale ni raia masikini wanakubali kuitunza familia isiyokuwa na mamlaka ya kiutawala juu yao.
Hiyo ni protokali tu maana hata watu gani wanaostahili kuwa waziri mkuu haamui mfalme bali ni vyama. Hata kuondoka waziri mkuu ni suala la bunge.SASA mbona waziri mkuu akiapishwa tu lazima akaripoti kwake ndio aanze majukumu yake. Na Hawa Jamaa wanaojiita ANGILCANA yeye ndio anawapangia Kila kitu mpaka jinsi watakavyo ingia mbinguni.?
Mkuu lazima ufahamu Uengereza ni nchi ya kifalme na Mfalme ndie kiongozi wa nchi japokua ni ceremonious figure na hana madaraka makubwa lakini bado ni kiongozi wa nchi yaani head of state. Kwa mantiki hio kama anahudhuria hafla za kitaifa lazima Serikali igharamie lakini matumizi yao binafsi au harusi za kifalme wanagharamiwa na hio Crown Estate na sio kodi za wananchiKwa hiyo taarifa tunazoziona BBC, CNN ni za uongo???
Kuwa Wananchi wanataka fedha zao za kodi zisipelekwe westminster, au sijui Essex hall.
Duh
Tusilolijua, kha!
WowMkuu lazima ufahamu Uengereza ni nchi ya kifalme na Mfalme ndie kiongozi wa nchi japokua ni ceremonious figure na hana madaraka makubwa lakini bado ni kiongozi wa nchi yaani head of state. Kwa mantiki hio kama anahudhuria hafla za kitaifa lazima Serikali igharamie lakini matumizi yao binafsi au harusi za kifalme wanagharamiwa na hio Crown Estate na sio kodi za wananchi
Hata maamuzi ya bunge lazima yapate Kibali cha Ufalme. "Assent"SASA mbona waziri mkuu akiapishwa tu lazima akaripoti kwake ndio aanze majukumu yake. Na Hawa Jamaa wanaojiita ANGILCANA yeye ndio anawapangia Kila kitu mpaka jinsi watakavyo ingia mbinguni.?
Hiyo ni protokali tu ndio maana mfalme hawezi kukataa maamuzi yoyote yanayotolewa na bunge.Hata maamuzi ya bunge lazima yapate Kibali cha Ufalme. "Assent"
Halafu tozo ziende wapiWow
"King Subjects"
Kwahiyo hata Raisi wetu nae, matumizi yake binafsi anajigaramia???
So jambo la msingi ni TUKTA tu??TUKTA wapo kwenye mazungumzo ulitaka wafanyakazi wafuatilie nn?
Hizo kanuni za Kifalme zimetungwa na nani? Au Mwigulu mtunzi wa TOZO ndio kakunong,oneza?Sifa za mtu anayetambulika kama mfalme:
1. Awe anamiliki ardhi yote anayotawala.
2. Awe na amri juu ya watu wote wa eneo lake kila wakati
3. Awe anamiliki mali zote katika eneo lake na kwamba kila raia awe anafanya kazi kwa ajili ya mfalme
4. Tamko la mfalme linakuwa sheria ambayo inatekelezwa mara moja
5. Mfalme ndio mwongozo wa tabia, mwenendo na tamaduni ya kila raia kwenye eneo lake
6. Mfalme anayo haki ya kumpatia au kumnyang'anya yeyote kitu chochote bila kuulizwa
7. Hukumu ya mfalme ni mwanzo na mwisho wa mabishano.
8. Mfalme anawajibika kiulinzi na kuhakikisha watu wake wanapata mahitaji yao ya kila siku.
Haya yote hayapo pale Uingereza. Kinachoendelea pale ni raia masikini wanakubali kuitunza familia isiyokuwa na mamlaka ya kiutawala juu yao.
Kweli kabisa, huyu ndio mfalme.Mfalme ni Mswati tu duniani hapa kwa sasa
Hizi kanuni ni de facto duniani kote.Hizo kanuni za Kifalme zimetungwa na nani? Au Mwigulu mtunzi wa TOZO ndio kakunong,oneza?
Kama ni de facto duniani kote ngoja nikuilize; Unajua kuwa Spain, Sweden, Monaco, Belgium na Japan kutaja kwa uchache ni nchi zenye ufalme? Je, zinafuata hizo kanuni zako za kipuuzi ulizoandika? Kama ni e-Swatini Morocco nchi za Afrika sawa. Zinafuata unachosema.Hizi kanuni ni de facto duniani kote.
Familia chache hizo kwenye hayo mataifa zimefanya janja janja ya brain washing ili waendelee kula keki bila kufanya kazi yoyote baada ya kushindwa kuwa na nguvu ya kutawala kama wafalme.Kama ni de facto duniani kote ngoja nikuilize; Unajua kuwa Spain, Sweden, Monaco, Belgium na Japan kutaja kwa uchache ni nchi zenye ufalme? Je, zinafuata hizo kanuni zako za kipuuzi ulizoandika? Kama ni e-Swatini Morocco nchi za Afrika sawa. Zinafuata unachosema.
Unaangalia sana movieSifa za mtu anayetambulika kama mfalme: