Unaona demokrasia ya uchawa ndo akili. Hao waingereza kutokana na akili zao hizo ndo waliitawala dunia. Umeshawahi sikia uwingereza inateteleka kwa ajili ya kubadili viongozi. Mifumo yao ya kiutawala haiyumbishwi na mtu mmoja kisa ni Rais au waziri mkuu. Huku Afrika ndo mnaona demokrasia ni mbaya kwa sababu ya ujinga wa kufikiri Rais ni sawa na Mungu.Mi mwenyewe naanza kuona hii level ya demokrasia ni ujinga.
Huyu rafiki yake aliyempitisha kuwa balozi wa UK kule US Peter Mandelson hakukizi vigezo na ku-pass high level security clearance. Yeye Keir kama akalazimisha.Yaani rafiki yako amefeli vetting ya ubalozi alafu wewe unampitisha,wai gereza hawana katiba ya kukulinda lazima usepe.
Demokrasia ya ujinga. Uingereza ile iliyokuwa na empire imeenea duniani kote ingekuwa na hii demokrasia isingeweza kutawala chochote. Miaka kumi mawaziri wakuu 7!! Kama siyo ujinga ni nini? Watu mambo yamekuwa magumu, badala ya kubadilika nchi yao ijikwamue wao wanaanza kupigizana kelele na kunyosheana vidole.Unaona demokrasia ya uchawa ndo akili. Hao waingereza kutokana na akili zao hizo ndo waliitawala dunia. Umeshawahi sikia uwingereza inateteleka kwa ajili ya kubadili viongozi. Mifumo yao ya kiutawala haiyumbishwi na mtu mmoja kisa ni Rais au waziri mkuu. Huku Afrika ndo mnaona demokrasia ni mbaya kwa sababu ya ujinga wa kufikiri Rais ni sawa na Mungu.
Ndiyo upande wa pili wa gharama ya demokrasia hiyo.Usipoenda nayo kwa mahesabu na akili ndipo utahesabika ni kichaa.Demokrasia ya ujinga. Uingereza ile iliyokuwa na empire imeenea duniani kote ingekuwa na hii demokrasia isingeweza kutawala chochote. Miaka kumi mawaziri wakuu 7!! Kama siyo ujinga ni nini? Watu mambo yamekuwa magumu, badala ya kubadilika nchi yao ijikwamue wao wanaanza kupigizana kelele na kunyosheana vidole.
Kuhama Chama kwa wapiga kura kwa wenzetu sio kosa ngoja itokee TZ sasa hiyo kelele yake utazania mtu kaua.Huyu rafiki yake aliyempitisha kuwa balozi wa UK kule US Peter Mandelson hakukizi vigezo na ku-pass high level security clearance. Yeye Keir kama akalazimisha.
Pia anaskendo nyingi zikiwepo kutoa taarifa za siri kwa washikaji zake kama Epstein.
Ushawishi wake kwenye jamii umepungua. Vyama vipya vinaongeza ushawishi na kuungwa mkono. Wapiga kura wanahama kutoka labour kwenda Green, Chama cha Farage na Store.
Gharama za maisha kupanda, mfumuko wa bei, issue za wahamiaji haramu, matokeo ya kura za uchaguzi wa mitaa.
Hili ndilo tatizo kubwa waliloliona kina Socrates kuhusu demokrasia miaka 500BC. Kuruhusu watu wote kushiriki maamuzi waliona ni tatizo kubwa. Wengi hawana uelewa.Waingereza wamemtimua kazi Waziri Mkuu wao lakini sasa wanabishana walichomfukuzia kazi Keir Starmer ni kipi hata wenyewe hawaelewi!
Haieleweki kwa nini amelazimishwa kujiuzulu na chama chake alichokiongoza kwenye ushindi mkubwa huku akitimiza ahadi zote alizoahidi.
Keir Starmer aje Africa, kwa rekodi yake anakuwa rais au waziri mkuu wa maishe milele popote Africa.
Sahihi mkuu, suala la kuachia kila mtu awe kwenye nchi apige kura lina changamoto zake nyingi sana kwa sababu kuna watu ni vilaza haswa hawaelewi chochote, tatizo ni kwamba nayo jinsi ya kuchuja wapi wapewe kipaumbele katika maamuzi ya kidemokrasia kama hayo ya kupiga kura ni mtihani mwingine.Hili ndilo tatizo kubwa waliloliona kina Socrates kuhusu demokrasia miaka 500BC. Kuruhusu watu wote kushiriki maamuzi waliona ni tatizo kubwa. Wengi hawana uelewa.
Leo hii nchi nyingi za magharibi zikiwemo Marekani na Ulaya zimejaa watu wenye uelewa finyu (low literacy) na jazba nyingi wanaofanya maamuzi kwa hisia wakighilibika kirahisi na watu wenye pesa na propaganda za agenda za siri. Wanashambulia viongozi wa maana kwa maslahi yao na kukumbatia wahuni.
Kwa mfano UK leo hii wameanza kusikitika kuhusu uamuzi wao wa BREXIT miaka 10 iliyopita. Waliowaghilibu (kina Boris Johnson) wameshafanikisha maslahi yao na kuingia mitini. Nigel Farage wa UKIP leo anajibaraguza kama hakuhusika vile. Tokea hapo waweacha kiti cha Waziri Mkuu wa UK katika vurugu zisizo na mwisho (total turmoil). Kila anayekikalia ama anajiuzulu au kutimuliwa kama mchezo wa kamari. Anayemaliza au kuvuka mwaka ni bahati.
Huyo Socrates mfumo aliokuwa anautaka pia hauna mapungufu!?? Mimi nadhani ujamaa ni hatari kubwa zaidi DunianiHili ndilo tatizo kubwa waliloliona kina Socrates kuhusu demokrasia miaka 500BC. Kuruhusu watu wote kushiriki maamuzi waliona ni tatizo kubwa. Wengi hawana uelewa.
Leo hii nchi nyingi za magharibi zikiwemo Marekani na Ulaya zimejaa watu wenye uelewa finyu (low literacy) na jazba nyingi wanaofanya maamuzi kwa hisia wakighilibika kirahisi na watu wenye pesa na propaganda za agenda za siri. Wanashambulia viongozi wa maana kwa maslahi yao na kukumbatia wahuni.
Kwa mfano UK leo hii wameanza kusikitika kuhusu uamuzi wao wa BREXIT miaka 10 iliyopita. Waliowaghilibu (kina Boris Johnson) wameshafanikisha maslahi yao na kuingia mitini. Nigel Farage wa UKIP leo anajibaraguza kama hakuhusika vile. Tokea hapo waweacha kiti cha Waziri Mkuu wa UK katika vurugu zisizo na mwisho (total turmoil). Kila anayekikalia ama anajiuzulu au kutimuliwa kama mchezo wa kamari. Anayemaliza au kuvuka mwaka ni bahati.
Vitu tofauti.So
Huyo Socrates mfumo aliokuwa anautaka pia hauna mapungufu!?? Mimi nadhani ujamaa ni hatari kubwa zaidi Duniani
Karma hii acha wavurugane tu.Hili ndilo tatizo kubwa waliloliona kina Socrates kuhusu demokrasia miaka 500BC. Kuruhusu watu wote kushiriki maamuzi waliona ni tatizo kubwa. Wengi hawana uelewa.