Uingereza kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu

Wasipige tu kelele pale mataifa rafiki wa Urusi watakapopeleka na wao silaha waziwazi maana huko ndiko wanakotaka tufike
 
Urusi sasa anapigwa kama ngoma, zile ndaro zake ata hazifanyi tena kazi ashasema sana jamaa ata hawamsikilizi tena mizigo yaendelea kutumwa tu 24hrs, Leo wapiganaji wa Urusi wametakiwa ku-retreat na jeshi la Ukraine kule Bakhmut counter offensive imekuwa successfully kabisa
 
Hata kwenye vifaru alianza UK kutoa Challenger, Marekani na Ujerumani wakatoa Abrams na Leopalds
 
STORM SHADOW CRUISE MISSILES
How strong is Storm Shadow?

He is an 8th degree black belt in several martial arts, and can endure unimaginable amounts of hardship and pain. Storm Shadow moves with blinding speed, can scale sheer walls with bare hands and feet, and is an expert with a long bow, katana, shuriken and nunchaku.
 
Safi sana kwanini Urusi aue watu bila hatia
 
Kilometa 560 hatari sana itabidi Russia iachie maeneo yote wanayokalia ya Ukraine maana yake majimbo yote ya Ukraine yaliyo chini ya vibaraka wa Russia yanarudi.
Yanayopelekwa Ukraine ni ya kupiga 250km-300km. Waziri wa ulinzi wa UK kalieleza Bunge baadae watafikiria kutuma za kuweza kupiga zaidi ya 300km.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…