Uingereza kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu

Uingereza kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu

Ulaya nzima sidhani Kama Kuna taifa la kuweza kupambana kivita na Uingereza. Uingereza ni habari nyingine. Msifikirie Russia anaweza akathubutu kwa muingereza. USA mwenyewe anafata matakwa ya waingereza. Na wenye power waliopo USA ni uzao kutoka Uingereza
Hii ni overstatement
 
Waziri wa ulinzi wa Uingereza amethibitisha kwamba nchi yake itaipatia Ukraine makombora ya masafa marefu ili kuweza kupiga shabaha za mbali.

Makombora hayo ya Storm shadow yanaweza piga shabaha hadi 300km huku yakiruka karibu kabisa na ardhi ili kukwepa kuonwa na rada za adui.

Hapo awali Urusi iliionya Uingereza juu ya uamuzi wa kutaka kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu kwamba ingejibu vikali Jambo hilo.

Ben Wallace akithibisha UK kutoa makombora hayo

Safi namkubali sana mwingireza.
 
Ulaya nzima sidhani Kama Kuna taifa la kuweza kupambana kivita na Uingereza. Uingereza ni habari nyingine. Msifikirie Russia anaweza akathubutu kwa muingereza. USA mwenyewe anafata matakwa ya waingereza. Na wenye power waliopo USA ni uzao kutoka Uingereza
GERMANY NI HABARI NYINGINE.
 
1684013365146.png

Ukraine has received Storm Shadow missiles from the UK.
 
Urusi ni tofauti na tulivyoaminishwa na pia alisema yeyote atakaetia mguu au kusaidia kwa njia yeyote atamsambaratisha angebaki na Ukubwa wake wa kutishia kama USA tuu wakati wote vita vinawasumbua...
NATO ni tofauti na tulivyoaminishwa.
Nchi 30 zimeshindwa kuidhibiti nchi moja TU.
Waliweza kwa vi nchi dhaifu kama Iraq,Serbia na Libya.
NATO wanakaa vikao Sasa miaka miwili.
USA ndo kabisa,bila washirika USA ni kibogoyo TU.
Ndio maana kaacha lundo la silaha Kwa Watalaban.
 
Tajiri anaweza kununua ng'ombe mzima akala maini tuu harafu masikini wakauana kwa nyama iliyobaki kujadili scraper zile kwa USA inabidi ujitafakari Mkuu...wenzetu kitu kikishatumika hakina thamani tena tumekaririshwa na TRA kuwa magari ni starehe kwa sababu ya kodi zao kubwa kutwa kujadili uchafu ulioachwa na USA huko Tariban...
 
Back
Top Bottom