4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
Hv upo timamu , huonag kuwa wapalestina kupitia Hamas na wengineo ndo huanzisha mashambuliz wakijibiwa mnalalamikaUnafiki tu umewajaa, miaka na miaka Israeli anauwa nini kule palestina??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hv upo timamu , huonag kuwa wapalestina kupitia Hamas na wengineo ndo huanzisha mashambuliz wakijibiwa mnalalamikaUnafiki tu umewajaa, miaka na miaka Israeli anauwa nini kule palestina??
Hv una akili timamu ? Kumpa silaha urusi sio kosa ila kosa ni kwenda kutumika kuua raia wa ukraine , huko ni sawa na kushiriki ugaidi , west wanampa msaada ukraine atumie silaha ndani ya nchi yake sio kupiga ardhi ya urusi ,VICHWA MAJI MNASHINDWA ELEWA HATA HILI PIAWasipige tu kelele pale mataifa rafiki wa Urusi watakapopeleka na wao silaha waziwazi maana huko ndiko wanakotaka tufike
Rudi milembeKwanini wawape?Si watupie wenyewe tuu
Hahaaa mijinga hiyoUtafikiri unakaa Moscow vile kumbe unakaa Vigwaza.
Mnahisi muvi hizi ?Russia inaenda kuipiga UK na UK itapata funzo la milele..
Urusi alikuwa kipenz cha wanazi akina Hilter na walishirikiana kuivamia Poland na kuigawanya vipande so Poland wana visasi vya muda mrefuPoland anamtamani sana Russia
Kwann alijitetea sana ile siku bomu limetua PolandUrusi inapigana na NATO pamoja na allies wengine nje ya NATO.
Sikuwahi kujua kama Urusi Ina nguvu namna hii.
Uzuri wa Uingereza huwa hanaga maneno mengi kama German. Yeye akisema leo kesho kashafikisha.
Nikukumbushe TU Toka 2014 wapo Uikrane,,,Nini kilichobadilisha upepo wa SMO?
Russia inaenda kuipiga UK na UK itapata funzo la milele..
Waziri wa ulinzi wa Uingereza amethibitisha kwamba nchi yake itaipatia Ukraine makombora ya masafa marefu ili kuweza kupiga shabaha za mbali.
Makombora hayo ya Storm shadow yanaweza piga shabaha hadi 300km huku yakiruka karibu kabisa na ardhi ili kukwepa kuonwa na rada za adui.
Hapo awali Urusi iliionya Uingereza juu ya uamuzi wa kutaka kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu kwamba ingejibu vikali Jambo hilo.
Ben Wallace akithibisha UK kutoa makombora hayo
Alijitetea ama alisema ukweli kua lile bomu halikia lake?Kwann alijitetea sana ile siku bomu limetua Poland
Hatari sana linabebwa ktk tumbo la ndege-vita kisha linafyatuliwa kutoka ktk ndege-vita ikiwa kilometa 250 mbali na eneo liliokusudiwa kuangamizwa. Hii inatoa uhakika wa usalama wa rubani.Yanayopelekwa Ukraine ni ya kupiga 250km-300km.
Wanapotaka tutafika tu
Kabisa, toka vita ianze UK hapepesi macho. Boris alisema wapo tayari kuweka Nuclear Poland endapo Russia ikaendeleza vitisho vya Nuclear hapo Ukraine.Jamaa huwa hawapepesi hasa kwenye suala la kumshughulikia putin na kumweka hasara
Toka mwaka jana March NATO walisema wametenga bajeti ya kuifadhili Ukraine kwa miaka mitano.Wapo hapo??Putin ameshachemka tayari,anashindwa ni namna gani atajiondoa Ukraine!!kweli S.AFRICA ni wa kumsaidia URUSI,silaha??Ila hii vita imeweka ukweli wazi kwani tulikuwa tunaambiwa Urusi ni balaa ,yaani US,hawezi chochote!!?sasa kweli Ukraine yeye hashambulii bali ana jilinda tu ndio hivyo,sasa ngekuwa na yeye anashambulia?!Ila NATO wameamua kumkomoa tu,mdogodogo hawataki vita iishe mapema!!