Uingereza kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu

Hii ni overstatement
 
Safi namkubali sana mwingireza.
 
GERMANY NI HABARI NYINGINE.
 

Ukraine has received Storm Shadow missiles from the UK.
 
Urusi ni tofauti na tulivyoaminishwa na pia alisema yeyote atakaetia mguu au kusaidia kwa njia yeyote atamsambaratisha angebaki na Ukubwa wake wa kutishia kama USA tuu wakati wote vita vinawasumbua...
NATO ni tofauti na tulivyoaminishwa.
Nchi 30 zimeshindwa kuidhibiti nchi moja TU.
Waliweza kwa vi nchi dhaifu kama Iraq,Serbia na Libya.
NATO wanakaa vikao Sasa miaka miwili.
USA ndo kabisa,bila washirika USA ni kibogoyo TU.
Ndio maana kaacha lundo la silaha Kwa Watalaban.
 
Tajiri anaweza kununua ng'ombe mzima akala maini tuu harafu masikini wakauana kwa nyama iliyobaki kujadili scraper zile kwa USA inabidi ujitafakari Mkuu...wenzetu kitu kikishatumika hakina thamani tena tumekaririshwa na TRA kuwa magari ni starehe kwa sababu ya kodi zao kubwa kutwa kujadili uchafu ulioachwa na USA huko Tariban...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…