Mbna unapanic kijana matusi hayatakusaidia
Hem tulia ugangwe maradhi sikitu tena tuliiiia
Huko kote walipambana kuua MAGAIDI namagaidi yanatakiwa yauliwe popote pale wakati wowote
US na shoga zake waliua watu wangapi IRAQ wakaua watu wangapi AFGHANISTA. Wakaua watu wangapi IRAN
wakaua watu wangapi HIROSHIMA na NAGASAKI wakau wangapi SOMALIA wakaua wangapi SUDAN wakaua wangapi YUGOSLAVIA
SYRIA alialikwa akawakamue MAGAIDI na anawakamua haswaaa
VENEZUELA alialikwa akaue MAGAIDI waloungwa mkono na US
Pia BELARUS nako MAGAIDI walipukutishwa vya kutosha
Kila unapoliona jeshi la RUSSIA basi lipo kwamualiko maalum waserikali yataifa husika
Kama URUSI ataona kuna umuhimu wakutumia NYUKLIA ili ashinde vita atumir tu hakuna shida mbona US alipoona kuna umuhimu wakutumia NYUKLIA alitumia namaisha yanaendelea
Naunga mkono matumizi ya NYUKLIA toka RUSSIA kama ndio sababu yakupata ushindi atumie hata leo ili kesho DUNIA iamke namambo yamsingi
Tulia ugangwe maradhi sikitu
Sent using
Jamii Forums mobile app