Uingereza kuipelekea Ukraine Makombora ya kujikinga dhidi ya mabomu ya Urusi yanayoshambulia uraiani

Uingereza kuipelekea Ukraine Makombora ya kujikinga dhidi ya mabomu ya Urusi yanayoshambulia uraiani

"No nation has the right to make decisions for another nation; no people for another people."

Julius Kambarage Nyerere

Ujumbe wa Mwalimu kwa Russia
Those Nations are Russia,USA and Nk and may be China nyie wengine mtaendelea kupangiwa Mambo na mabwana zenu.
 
Mkuu wamechelewa! Miundo mbinu mingi ya Ukraine imeharibiwa vibaya ndani ya siku mbili tu. Sema hawakujua kama Russia bado ina nguvu kubwa ya kutosha.
Na si kwamba Ukraine haikuwa na Air-Defensive missiles! Sema Kamikaze drones ambazo zimedhaniwa ni drones za Iran ndiyo zimeleta uharibifu huo.
 
Back
Top Bottom