Mkuu wamechelewa! Miundo mbinu mingi ya Ukraine imeharibiwa vibaya ndani ya siku mbili tu. Sema hawakujua kama Russia bado ina nguvu kubwa ya kutosha.
Na si kwamba Ukraine haikuwa na Air-Defensive missiles! Sema Kamikaze drones ambazo zimedhaniwa ni drones za Iran ndiyo zimeleta uharibifu huo.