Sipo hapa kusimulia hadithi.Sio kweli hilo la utawala mbovu mmemezeshwa tu na Main Stream Media ila hazina ukweli
Libya wakati wa gadafi hakukua na watu kuhama nchi yao wakaenda wakamuua
Syria wakati hawajaingiliwa na magaidi wa nato watu walikua wametulia makwao
Iraq napo palikua pametulia wakaenda wakaua watu wakaharibu ncho yao
Afghanistan hali kadhalika wamewafanyia hivyo
Pia wanajifanya mabwana wakubwa wanawaekea watu vikwazo kinafiq ona venezuela wanavyokimbia nchi yao baada ya vikwazo angalia cuba na mexico
Wahamiaji wote waliharibiwa mataifa yao ama kuekewa vikwazo wanatakiwa wakimbilie huko kwa hao wauaji
Afghanistan kuna mabilioni yao ya fedha kama sio matrilion yamezuiwa marekani na kwengine ambazo zingefanya maendeleo kwao
Safi sana wahamiaji
UK mara ya mwisho nilikwenda mwezi May mwaka jana na hizo habari nilizipata kwa wenyeji wangu pale sijatunga.